Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Wamarekani wametoa papa kwa mara ya kwanza
Kumbe jamaa alikuwa anatuandaa kisaikolojia! Alijua?? Ila najua haikuwa bahati mbaya!

skynews-donald-trump-truth-social_6904326.jpg


Saturday 3 May 2025 13:19, UK

​

Who is Pope Leo XIV? American Robert Prevost announced as leader of Catholic Church​


Thursday 8 May 2025 18:42, UK


 
Brother, hiyo kauli hapo juu kwenye heading sio nzuri hata kama sio dini yako.
 

Kufikiri kwamba Afrika inaweza kutoa Papa zilikuwa ni Ndoto za mchana.
 
Nilisema mie, anayekuja ndo anahalilisha kabisa alivyo vi asisi Francis.
Majiraniii hukuuu, 😂😂😂😂😂😂
 
In 2018, China and the Vatican reached a provisional agreement regarding the appointment of bishops, in which the Vatican was given a certain degree of participation in the process. Although the agreement was criticized by some Christians who felt that the Vatican was compromising its principles, it still represented a diplomatic step forward.
 
Back
Top Bottom