Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Ana Uraia Pacha Lakini Ni Toka US, Chicago. Anaitwa PapA Leo XIVni raia wa nchi gani na amechagua jina gani?
Ana Uraia Pacha Lakini Ni Toka US, Chicago. Anaitwa PapA Leo XIVni raia wa nchi gani na amechagua jina gani?
Ana Uraia Pacha Lakini Ni Toka US, Chicago. Anaitwa PapA Leo XIV
Sikupingi hapa.Wanabodi,
Kuwa watu hapa Duniani wana maono au inteligensia ambayo ni very controversial.Pictures reveals:
Kanisa moja takatifu katoliki la mitume!Ziara ya Rais Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM nchini Vatican sasa kumeliweka taifa mahali pazuri sana kidiplomasia
Rais Samia aliongozana na Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi, mh Rostam Aziz na Waziri wa Chakula ni Uhai mh Hussein Bashe
Watanzania tembeeni Vifua mbele 🇹🇿
Vipi na kuhusu dhehebu letu la SDA aka Kanisa la wasabato! Kuanzia enzi za Bibi yetu Ellen G White, mpaka sasa tumeshawahi kumpata kiongozi Mwafrika?Papa kapatikana, ni mzungu mweupe, turudi kwenye mjadala wa kumpata papa mweusi, kuna wadau walisema haitatokea papa awe mweusi, je tuendelee kuamini hivyo?
Jamaa trump intelligence yake haimuangushiWanabodi,
Kuwa watu hapa Duniani wana maono au inteligensia ambayo ni very controversial.Pictures reveals:
Acha kujidanganya. Kupitia maelezo niliyosoma, huyu Papa mpya alimuunga mkono mtangulizi wake kwenyue baadhi tu ya mabadiliko mfano kuhusu suala la wahamiaji, kuruhusu watu walio tengana kukomunika, nk.Nilisema mie, anayekuja ndo anahalilisha kabisa alivyo vi asisi Francis.
Majiraniii hukuuu, 😂😂😂😂😂😂
Wakati huo utafika tu.Mapapa wengiiiiiiii lakini Africa haijawahi toa papa.
Inafikirisha sana
Hahahaaaaa. Sasa mkuu shida awe katoka Africa au awe mweusi?.Wamepita mapapa 265 na huyu wa leo ni wa 266 ila hakuna hata mmoja ambaye ni mweusi. Wapo waliotoka Afrika ila hawakuwa weusi.
Moshi mweusi tu unathibitisha hilo, yaani utoke mweupe walete Papa mweusi 😀 😀 😀 (kidding)Uchaguzi au Ubaguzi ?
How much did he pay ?Trump alijua kupitia Cia na Fbi,akapiga na kampeni mtu wake apite