Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Acha kujidanganya. Kupitia maelezo niliyosoma, huyu Papa mpya alimuunga mkono mtangulizi wake kwenyue baadhi tu ya mabadiliko mfano kuhusu suala la wahamiaji, kuruhusu watu walio tengana kukomunika, nk.

Ila hakumuunga mkono kwenye suala la kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.
Kwani mie ktk comment angu wapi nilitaja mapenzi ya jinsia 1? Unajistukiaa? Poleeee.
😂😂😂😂😂
 
Kumbe mnawakubali sana Wakatoliki na kuamimi kuwa ndiyo Wababe wa dunia, sasa Chuki zenu na Mihadhara yenu ya Kuwatusi Wakatoliki huwa zinatoka wapi?

Wa Kuinama na Kujamba 24/7 bhana!!
Punguza visungura mkuu.
 
Donald hakufanya hivi kwa bahati mbaya, nikwasababu fridge lake haligandishi😀
Screenshot_20250508-212700~2.png
 
Kusema ukweli huyo wala si mtu wake.

Kisiasa ana baadhi ya misimamo tofauti kabisa na Trump, hususan kwenye udhibiti wa silaha za moto na uhamiaji haramu.

Kilichotokea ni coincidence tu.
Lakini hii coincidence ina kautata na maswali mengi ya kujiuliza.
 
Hamkuelewa why Trump alipost picha kavaa kama Papa. Hamkuelewa Messages mkamshambulia tu

Nilijua alikuwa na maana kubwa sana.
Mara mimi nafaa kuwa papa
Mara tuna makadinali hapa wanaofaa
Mara akatokeza na vazi la papa.

Very strong message.
 
Pietro wa italy ndio atachaguliwa (mtazamo wangu)


Ila ningependa papa atoke ulaya mashariki kule ukrsto upo moyon
Hasa kutoka poland hungary na malita
Una mawazo kama yangu. Mimi nilikua natamani Kadinali wa Hungary awe Papa. Hata huyu waliomchagua yupo vizuri.
 
Back
Top Bottom