SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Papa Mpya kakata kitabu mpaka PhD (ya kusoma sio ya kutunukiwa) aisee hawa jamaa si mchezo. Ngumbaru wacha tuendelee na Mbunge wetu Taletake
Sio lazima.Kwani Kuna ulazima wa kuwa weusi? Umewahi kumuona papa muasia? Mwarabu Je?
Bora isiwe ya hishima kama za vilaza wetu. Sipati picha Tarampu atakavyojisifu kuwa amezalisha papaPapa Mpya kakata kitabu mpaka PhD aisee hawa jamaa si mchezo. Ngumbaru wacha tuendelee na Mbunge wetu Taletake
Aya
Sanaa kutoka official page ya Whitehousehuyu rais ni mtukutu sana!
Nyani Ngabu ninunulie VISA basi nije huko, nimechoka kuishi Tanganyika.Hahahaaa wachukia Marekani mtapata tabu sana 🤣.
Good ‘ol USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Package Ndiyo Hiyo Ya Papa Leo XIVTulia uje na package
Madarasat Kiblatein kulatein wa tein saa tein nadhaniTutajie na elimu ya mufti mkuu?
Hahahaaaa we jamaa wewe.Aanzee na Sudan kusini
Aende congo
Arudi somalia
Aende.....
All d best papaa
Haooo WA gaza na Yemen watajijua wenyeweeeee pambana na sisi utukumbuke
Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa na umri wa miaka 88. Huu ni uchaguzi wa 267 katika historia ya Kanisa Katoliki.
Muhtasari wa Mchakato wa Conclave
Asubuhi ya leo, makardinali walishiriki Misa ya "Pro Eligendo Pontifice" katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re.
- Idadi ya wapiga kura: Makardinali 133 walio chini ya umri wa miaka 80 wanashiriki katika uchaguzi huu. Wengi wao, 108 kati ya 133, waliteuliwa na Papa Francis, wakionyesha uwakilishi mpana wa kimataifa.
- Mahitaji ya ushindi: Mshindi anahitaji kupata angalau kura 89, sawa na theluthi mbili ya kura zote.
- Taratibu za uchaguzi: Makardinali wanafanya upigaji kura mara mbili kila siku. Baada ya kila raundi, karatasi za kura huchomwa: moshi mweusi huashiria hakuna mshindi, wakati moshi mweupe hutangaza kuwa Papa mpya amechaguliwa.
- Ulinzi wa usiri: Wapiga kura wote wameapa kutunza siri kali kuhusu mchakato huu, na hatua za kiusalama zimechukuliwa kuhakikisha hakuna uvujaji wa taarifa.
Baadaye mchana, makardinali walielekea kwenye Kanisa la Sistine kwa ajili ya kuanza rasmi mchakato wa uchaguzi. Upigaji kura wa kwanza unatarajiwa kufanyika jioni ya leo. Kwa sasa, hakuna moshi mweupe ulioripotiwa, hivyo bado hakuna Papa mpya aliyeteuliwa. Tutaendelea kukufahamisha mara tu matokeo mapya yatakapopatikana.
UPDATE:
Protase Kardinali Rugambwa aapa kuwa Mwaminifu na kutunza Siri
Tanzania ina Makadrinali wawili, Protase Kardinali Rugambwa na Polycarp Kardinali Pengo. Kwa mujibu wa taratibu, ni Rugambwa pekee ndiye anaweza kupiga na kupigiwa kura maana yupo chini ya umri wa miaka 80.
Sambamba naye, Makardinali wengine pia wanaohusika kwenye uchaguzi huu wameweka viapo vyao.
Moshi Mweusi waonekana kwa mara ya 1
Majira ya saa 3:00 usiku kwa saa za Vatican, Moshi mweusi umeonakana kwa mara ya kwanza Mei 7, 2025 kuashiria kuwa kura hazijatosha kwa makardinali waliopigiwa kura.
Zoezi kuendelea tena Mei 8, 2025.
Moshi Mweusi waonekana kwa Mara ya 2
Mei 8, 2025 mida ya saa saa 6:50 mchana kwa saa za Afrika Mashariki, moshi mweusi umeonekana kwa mara ya pili kutoka Vatican.
Hii inaonesha papa mpya bado hajapatikana.
Papa mpya apatikana
Mida ya saa 1:15 kwa saa za Afrika Mashariki, Moshi mweupe umeonekana kwenye kanisa la Sistine, Vatican ikiwa ni ishara ya kupatikana kwa papa mpya.
Sasa unasemea kadinali/papa? Ukiona mtu ni askofu jua ana PhD!Papa Mpya kakata kitabu mpaka PhD (ya kusoma sio ya kutunukiwa) aisee hawa jamaa si mchezo. Ngumbaru wacha tuendelee na Mbunge wetu Taletake
Blah blah blahTutajie na elimu ya mufti mkuu?
😂😂 Inawezekana kulikua na mpangoIla Trump fala sana aisee 🤣.
Basi hapo atajigamba bila yeye Papa Leo asingechaguliwa.
Nina imani wewe siyo Mkatoliki. Maana kama Marekani tu na ukubwa wake, hii ndiyo mara yake ya kwanza inatoa Papa! What is so special about Africa?Mapapa wengiiiiiiii lakini Africa haijawahi toa papa.
Inafikirisha sana
Aisee huyu mwamba alijuaaaaa ndioo MANAA watu wakawa wanagongana wakaenda sec round sasa Siri wanaijua WAOO bana😂😂 Inawezekana kulikua na mpango View attachment 3328291 maana mpaka ukurasa maalumu wa ikulu ya marekani walichapisha.