Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Ni kweli.Kuna sehemu nimesoma kuwa ana uraia wa nchi mbili, Peru alikofanyia utume muda mwingi, na Marekani alikozaliwa. Sina uhakika lakini.
Uraia wa Peru kaupata mwaka 2015.
Ana dual citizenship.