Live kama alivyoitwa Musapapa ni padre, padre aliitwa akiwa mtu wa kawaida akaenda kwenye upadre akapanda ngazi kwa namna mbalimbali hadi kufika hapo
sauti ya wengi ni ya Mungu,
Ebu tueleze ulitaka aitwe kwa namna gani ?
Live kama alivyoitwa Musapapa ni padre, padre aliitwa akiwa mtu wa kawaida akaenda kwenye upadre akapanda ngazi kwa namna mbalimbali hadi kufika hapo
sauti ya wengi ni ya Mungu,
Ebu tueleze ulitaka aitwe kwa namna gani ?
Mkuu ngabu, ni mmarekani mwenye asili ya wapi?Papa kachaguliwa Mmarekani.
Kumbe la dunia mwakani litafanyika Marekani.
2028 Olympic Games zitafanyika Marekani.
🇺🇸
Sijui ila nadhani itakuwa ni Ulaya.Mkuu ngabu, ni mmarekani mwenye asili ya wapi?
Italy , Spain and FrenchMkuu ngabu, ni mmarekani mwenye asili ya wapi?
Oh, na Kiitaliano linaandikwaje? Francis in Latin ni Franciscus, nadhani unachanganya mafaili.Francesco is a latin name.
PeruSijui ila nadhani itakuwa ni Ulaya.
Mmeanza pumba sasatrump hakufanya igizo lile kwa bahati mbaya, anajua kinachotokea. Hawa ndio wakubwa wa dunia hii mambo yote wanayapanga wao
😂😂😂😂😂Hichi ni kingereza cha Tanganyika au umekopa kutoka uRaya?
Bro, that ‘smoking goblet’ isn’t Hogwarts ,it’s centuries of tradition wrapped in incense and drama! Those so, called eunuchs? Tactical geniuses in robes. It’s not just prayer – it’s spiritual chess with Latin chants and side-eyes. Think of it as ‘Vatican Hunger Games’ but with mitres and holy water. Only one walks out in white, the rest get rosaries and emotional damage!I used to think Catholics pick their Popes from a smoking goblet. A sign of divine providence. It's all banter. These eunuchs run brutal campaigns along the Vatican boulevards 🤣🤣🤣
Ana asili ya Peru au kafanya kazi ya umisionari Peru?Peru
Oh, na Kiitaliano linaandikwaje? Francis in Latin ni Franciscus, nadhani unachanganya mafaili.
Kafanya kazi ya umishonari PeruAna asili ya Peru au kafanya kazi ya umisionari Peru?
Ndo matatizo ya kusoma vitu na kutokuvielewa.
Haya naomba chanzo kinachosema yeye ana asili ya Peru
Nijuavyo mimi yeye ana asili ya Ufaransa, Italia, na Hispania.
View attachment 3328406
Anhaa. Kwa hiyo Hana asili ya Peru kama ulivyoandika!Kafanya kazi ya umishonari Peru
Kwani mada ilikuwa inahusu asili?Anhaa. Kwa hiyo Hana asili ya Peru kama ulivyoandika!
ausioLive kama alivyoitwa Musa
Kuna sehemu nimesoma kuwa ana uraia wa nchi mbili, Peru alikofanyia utume muda mwingi, na Marekani alikozaliwa. Sina uhakika lakini.Anhaa. Kwa hiyo Hana asili ya Peru kama ulivyoandika!
😂😂😂😂😂Thats the news
Papa mpya ana degree ya hesabu . Well not what i expected from the conclave an american new pope . but all in all good luck to him
Kanisa katoliki liheshimiwe , kila mtu anashule .
Muslim someni shule
Ulininukuu jibu langu nililomjibu mtu aliyeniuliza yeye ni Mmarekani wa asili ya wapi.Kwani mada ilikuwa inahusu asili?