Hii ni habari mbaya kwa shetani na timu yake (wakashifu dini & washabikia lock down)Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe.
“Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli zisiandamane na shamrashamra, ukishafunga ndoa kusiwepo sherehe, kinachofanyika ni mkusanyiko wa Ibada, kama unataka na sherehe subirisha” Katibu Mkuu TEC
“Ndoa zinaendelea kufungwa, mtu amekaribia kufa huwezi mnyima Ubatizo, nyie Wachumba mmepanga kufunga ndoa April njooni Kanisani mtafunga mko wawili na wasimamizi wanne, distance mita moja moja lakini hamna sherehe” Katibu Mkuu TEC Padri Kitima
“Tafsiri iliyotolewa na baadhi ya Vyombo vya Habari haikuwa sahihi, Askofu hakuwa na maana kwamba anasimamisha sakrament, hakuna anayeweza kusimamisha huduma za Yesu” Katibu Mkuu TEC Padri Kitima
Hizi tahadhari za corona ni vituko tupu!
Hao watu wanne ndio hawawezi kuambukizana?
Kama mtu mmoja anaweza kuwaambukiza watu kumi kwa siku katika mazingira tofauti tofauti, na watu kumi nao wakawaambukiza watu mia wengine katika mazingira tofauti tofauti, seuze watu wanne wenye kila chances za kuambukizana na wakaenda kuwaambukiza wengine majumbani?
I see no point with this corona bullshits! Nawa mikono sijui sanitaiza! Upuuzi mtupu!
A contagious disease, unawaambia watu nawa mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kizuri Kweli hiki kuoa aise
Humalizi hata laki mbili
Hakuna mambo ya kamati
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahio umekimbia michangoKanisa kuu duniani limeongea. Asante Sana Mh. Dr. Katibu Mkuu (PhD) kwa ufafanuzi huu. Maana michamgo ilizidi unashangaa pesa hii inakwemda wapi?
Sio kila kitu lazima kuchangia, kuna mambo mengine yanawataalam wake, ni ajabu hadi leo hujui umuhimu wa kunawa mikono, kwa sabuni kuwa ni njia bora ya kukabiriana na covid-19?!!!social distancing nayo hiitambui?!!!Hizi tahadhari za corona ni vituko tupu!
Hao watu wanne ndio hawawezi kuambukizana?
Kama mtu mmoja anaweza kuwaambukiza watu kumi kwa siku katika mazingira tofauti tofauti, na watu kumi nao wakawaambukiza watu mia wengine katika mazingira tofauti tofauti, seuze watu wanne wenye kila chances za kuambukizana na wakaenda kuwaambukiza wengine majumbani?
I see no point with this corona bullshits! Nawa mikono sijui sanitaiza! Upuuzi mtupu!
A contagious disease, unawaambia watu nawa mkono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yale mambo ya kwenda na washenga ukweni kutoa mahari nayo si ni aina ya mikusanyiko isio ya lazima...?Kipindi kizuri Kweli hiki kuoa aise
Humalizi hata laki mbili
Hakuna mambo ya kamati
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujui Haya mambo yalivyo ndo maana unachangia kulingana na ufahamu wako siwez kukulaumu maana hujui unachokisema ukilinganisha na Imani ya Kanisa Cathoric, Mambk matakatifu hayawezi kusitishwa kwa sababu ya korona.Hizi tahadhari za corona ni vituko tupu!