Kanisa Katoliki latoa taarifa ya "kutoonekana" kwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea

Kanisa Katoliki latoa taarifa ya "kutoonekana" kwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea

Daaaaa unateka hafinPadre ili kulazimisha kutawal khaaaaa
 
Tumeshawazoea ma Padre madeni yakizidi wanajiteka kama Padre Kibiki alivyojiteka baada ya kuchezea kamari hela ya mkopo
 
Pamoja na utumishi wake kwa Mungu na kanisa, bado anabaki ni binadamu,ambaye ana utashi na hulka za kibinadamu.
Inaweza kudhanika vinginevyo kwa tafsiri zetu ila nyuma yake kuna mengi na dhania nyingi.
Sala dua na maombi yetu kwa Mungu apatikane mapema akiwa na afya na uzima.
Ningependa kujuwa kabla ya kupotea
-Msimamo wake juu ya utekaji.
-Mahubiri yake
- Nafasi/ cheo kati baraza la Maaskofu
Nitaunganisha......
 
Circle nzima itanyakuliwa. As long as that man anaendelea kutoa password
 
Nadhani Itakua walikua wanamwinda mmoja wao ili awape taarifa TEC wana msimamo au wana panga nini kuhusu Oktoba 29
 
Askofu mkuu Jimbo Katoliki Songe Damian Denis Dallu anaripoti kutoonekana kwa padre Camilus Nikata tangu tarehe 8/10/25.Padre Nikata ambae pia ni mhadhiri kwenye chuo kikuu cha mt.Agustino Mwanza (SAUT) alikata tiket ya kusafiri kutoka Songea kwenda Mwanza tar 8/10/25 kupitia bus la SuperFeo.Askofu Dallu anasema siku ya Safari ilionekana mizigo Ya Padre Nikata ambayo aliandaa kwa ajili ya Safari hiyo ipo kwenye chmba chake lkn yeye hakuwepo.Juhudi za kumtafuta zilianza ikiwa ni pamoja na kupiga simu yake lakini haikupatikana.Ofice ya Super Feo ilithibitisha Padre Camilus Nikata kukata tiketi kwenye bus lao lakini hakusafiri tarehe hiyo.Pia Askofu Dallu amesema wameripoti tukio hilo Kituo cha Police Songea. My take,Mapadre wa Kanisa Katoliki wawe makini maana inaonekana wanawindwa
 
Hana madeni kutokana na kutapeliwa eBay?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom