Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.
View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2