Yaan mtu anajaribu kushinda na Mungu, subiri atakavyopondwaaa,. Majeshi MajeshiKatika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.
View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2
Alberto Msando apeleke kikosi hapoKwani rc ndio nn
huenda ni jitihada za kinafiki za fr.kitime za kufungua tawi jipya la chadema ndani ya kanisa katoliki na kuhakikisha kabila la alikotoka fr.kitime na lisu linadominate uongozi wa ndani ya kanisa katoliki 🐒
Regional Commission🤪Kwani rc ndio nn
Msando anajitakaAlberto Msando apeleke kikosi hapo
Waende wakawafukuze na hapo haraka kabla hatujawafukuza kaziYaan mtu anajaribu kushinda na Mungu, subiri atakavyopondwaaa,. Majeshi Majeshi
Wanajitakaaa, unataka kucheza na walioua mitume hahahWaende wakawafukuze na hapo haraka kabla hatujawafukuza kazi
Polisi hawa si mmeseme hawaruhusiwi kuabudu popote nendeni na hapo mkawatimu, kikosi kazi na mabomu ya kuwasha wawahi mara moja hapoMsando anajitaka
WanajioendaaPolisi hawa si mmeseme hawaruhusiwi kuabudu popote nendeni na hapo mkawatimu, kikosi kazi na mabomu ya kuwasha wawahi mara moja hapo
Inabidi polisi wawahi hapo mara moja wawatimueWanajitakaaa, unataka kucheza na walioua mitume hahah
Watapukutika hahahInabidi polisi wawahi hapo mara moja wawatimue
Wanapenda kuwafurahisha wanasiasa wakawafurahishe na hapoWanajioendaa
Wawahi na mabomu ya machozi haraka sanaWatapukutika hahah
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.
View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2
Nataman wasogee hata getini na magari yaoWanapenda kuwafurahisha wanasiasa wakawafurahishe na hapo
Mbamizwa katumeni 🥺💔