Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

Ni habari njema sana inayotia moyo na kuonyesha nuru ya kwenye giza.

Naamini kabisa pamoja na ule upendo wa ni agizo la Kristo huu ujumbe ambao unafika moja kwa moja kwa watawala.

Waupokee na kujisahihisha , hawajachelewa bado.
 
huenda ni jitihada za kinafiki za fr.kitime za kufungua tawi jipya la chadema ndani ya kanisa katoliki na kuhakikisha kabila la alikotoka fr.kitime na lisu linadominate uongozi wa ndani ya kanisa katoliki 🐒
Who is Fr Kitime?
 
Ni habari njema sana inayotia moyo na kuonyesha nuru ya kwenye giza.

Naamini kabisa pamoja na ule upendo wa ni agizo la Kristo huu ujumbe ambao unafika moja kwa moja kwa watawala.

Waupokee na kujisahihisha , hawajachelewa bado.
Hiyo ndo dawa. Huwezi kutesa Wakristo kiasi hicho na ukanyamaziwa tu eti kwa sababu hutaki kukosolewa.
 
Kwa hio mpaka wale watumwa waliowajengea Shule za Wakombozi wa Uhuru wenu pia waliwalawiti? Akili sifuri kabisa wewe
 
Nilikuwaga siwaelewi HAO JAMAA ILA kwa hili🙏🙏🙏🙏🙏🙏



Kwishaaaaaa
 
Kitima anamsingizia tu. Kila Mkristo haungi mkono ujinga huo wa kutesa Waumini.
Hivi wanadhani Katibu wa TEC ana mamlaka ndani ya majimbo? Au anafanya chochote bila ya maaskofu kukaa na kuamu.

Ikiwa nje utaliona Kanisa katoliki Kwa macho ya makengeza, lakini utendaji wake ni ki hearakia. Sio shamba la bibi watu wapo serious aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…