Executive Diary
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 325
- 824
Hapo utakua unachanganya mambo.Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka
Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Atimkie popote pale bado heshima yake itabaki na ataendelea kuwa bora kuliko hao viongozi wa Kanisa wakiongozwa na Nyaisonga na wenzakeJenga hoja bila matusi kamanda, Tundu anatimkia ACT, kada Mbowe ataendelea kuwapotosha hadi mkome.
Kanisa katoliki halikushiriki kama mamlaka... ni makasisi wake ambao walifanya makosa hayo....na kanisa kwa kufnya uungwana linaomba radhiMtoa mada kushindwa kuweka mifano yake with precision haifanyi hoja yake kua mfu
Nakupa mfano wa juzi juzi tu hapo mwaka 2017 kanisa katoliki chini ya papa Fransis liliomba radhi kwa kushiriki kwake katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda, sasa mfano unao.
Kanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...Kanisa katoliki lina historia ya kushabikia ukatili na kujikomba na serikali dhalimu!
Rwanda genocide: Catholic church sorry for role of priests and nuns in killings
‘We didn’t show that we are one family but instead killed each other,’ say bishops in statement marking the end of the holy year of mercywww.theguardian.com
Pope apologizes for Catholics' participation in Rwanda genocide
Pope Francis meets with Rwandan President Paul Kagame: Francis "conveyed his profound sadness, and that of the Holy See and of the church, for the genocide against the Tutsi," the Vatican said. "He expressed his solidarity with the victims and with those who continue to suffer the consequences ofwww.ncronline.org
Ubora wake unapimwa kwa lipi, au kwa kupigwa risasi?Atimkie popote pale bado heshima yake itabaki na ataendelea kuwa bora kuliko hao viongozi wa Kanisa wakiongozwa na Nyaisonga na wenzake
Kanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...
Kwa sababu majority ya wanaoonyesha hasira zao ni waumini wa Catholic hivyo wanaona kanisa limewasaliti, wa BAKWATA watalaumiwa na watu wao.Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka
Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
as long as padre alishiriki, basi limechafuka. It means humu RC kuna mashetani wamejificha si mahali pa kupaamini hata kidogo! Limechafuka tayariKanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...
Hapana mkuu..ukiacha udini jamaa ana point!ww unataka kuanza kuleta udini..usiitaje kwanza bakwata hapa..maana inajulikana ni mali yao..unakimbuka zaman walikua waantoa waraka kbs kukemea ntantalila za serikali!?ss hv wamelewa sadaka za waamini!
RC wawe makini kipindi hiki maana wajikuta wanapungukiwa na waumini kwa kuendekeza udikiteta wa CCMKama sadaka zetu ni kwa ajili ya kutetea haya tutafakari