Kanisa katoliki lijitafakari

Kanisa katoliki lijitafakari

Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka

Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Hapo utakua unachanganya mambo.
BAKWATA kavuliwa nguo, akaamua kujifungia ndani, lakini kanisa limeamua kuvua nguo na kutoka nje likitembea kwa majigambo.
 
Separation of church and state. Hata hayo matamko wa maaskofu ni kwa sababu tu wana uhuru wa kutosha. Kanisa linahubiri injili ya Kristo sio siasa. Tukienda hivyo hatutafika
 
Kuna maaskofu hua wanaongelea uvunjwaji haki za binadamu na hali ya demokrasia nchini.

Wanapotokea wengine na kutoonyesha kuguswa na haki na hiyo hali ya demokrasia kinachotakiwa ni uvumilivu.

Kama watu wote tukiongea lugha moja hiyo sasa haiwezi kua demokrasia. Katika Siasa kama somo tunasema Siasa ni kupata madaraka ya kiuongozi kivyovyote na muda wowote.

Kama ili upate madaraka inabidi ulicorrupt kanisa wala siyo tatizo, bado upo ndani ya siasa.

Tujifunze uvumilivu.
 
Mtoa mada kushindwa kuweka mifano yake with precision haifanyi hoja yake kua mfu

Nakupa mfano wa juzi juzi tu hapo mwaka 2017 kanisa katoliki chini ya papa Fransis liliomba radhi kwa kushiriki kwake katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda, sasa mfano unao.
Kanisa katoliki halikushiriki kama mamlaka... ni makasisi wake ambao walifanya makosa hayo....na kanisa kwa kufnya uungwana linaomba radhi
 
Kanisa katoliki lina historia ya kushabikia ukatili na kujikomba na serikali dhalimu!

Kanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...
 
Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka

Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Kwa sababu majority ya wanaoonyesha hasira zao ni waumini wa Catholic hivyo wanaona kanisa limewasaliti, wa BAKWATA watalaumiwa na watu wao.
 
Kanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...
as long as padre alishiriki, basi limechafuka. It means humu RC kuna mashetani wamejificha si mahali pa kupaamini hata kidogo! Limechafuka tayari
 
Madhehebu ni KKKT na ADVENTISTS pekee hawa wengine ma kahaba tu wa Imani ndo maana unakuta wanajifanya watawa lakini vimada kibaoo
 
Tafali tuelewe... Kanisa linatoa waraka katika matukio makubwa ya kikanisa Kama Kwaresima na Majilio ila sio kila wakati eti kwa vile fulani kajitoa kwenye uchaguzi. Bado Kuna uthabiti katika kanisa na watendaji wake unakumbuka waraka wa Kwaresima mwaka jana ulivyoleta gumzo, na walisema ukweli. Pamoja na hayo siasa za Tz hayupo anayesema ukweli, wote ni waongo na wanafiki, sio CCM, CUF, CDM, ACT NK wote ni wanafiki na wachumia timbo. Kwa mfano hao CHADEMA baada ya uchaguzi hawana habari na viongozi wao wa ngazi ya chini chama kinabaki cha MBOWE na wenzake huko juu. Huyohuyo MBOWE hataki kuachia cheo cha umwenyekiti alafu eti CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, demokrasia ipi?

CCM nao kiburi kisicho na akili, wao kila kitu ni ubabe, maelekezo ya viongozi ni kama ya Mungu hakuna wa kuyapinga. Wanaumiza wananchi na hakuna wa kuhoji.

Askofu pamoja na yule Paroko wa Osterbay wamechemka. Kwa hali ilivyo sasa haina haja ya kusema chochote, wanasiasa waendelee na mambo yao. Ilifika uchaguzi ndo wanataka public mercy ila uchaguzi ukipita hawana haja na wananchi
Hapana mkuu..ukiacha udini jamaa ana point!ww unataka kuanza kuleta udini..usiitaje kwanza bakwata hapa..maana inajulikana ni mali yao..unakimbuka zaman walikua waantoa waraka kbs kukemea ntantalila za serikali!?ss hv wamelewa sadaka za waamini!
 
Back
Top Bottom