Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa liliwadharau walipotaka atoke Kikwete aingie Lowasa.Kanisa haliwezi tetea wala ruzuku wasiotaka kufanya uchaguzi ndani ya vyama vyao
Mimi kama Mkatoliki imeniuma sana kuona Rais wa TEC anatetea ubarudhuli kama huu. Ikumbukwe Rais wa TEC ndiye msemaji wa kanisa kwa hiyo anapokuja kutoa neno inatakiwa afikirie sana. Sipendi kuongelea udini na ukabila ila Nyaisonga kama Msukuma alitakiwa mapenzi yake hayafiche na ajue waumini wake wanafuata itikadi tofauti. Amenikwaza sana hata jana nikamuomba Mungu wangu nyumbani badala ya kwenda kanisaniHapa tunapingana na kilichosemwa na rais wa TEC. Mimi kama mkatoliki napingana naye pamoja na viongozi wengine kama yeye na nitaanza kulisema kuanzia ngazi ya jumuia na nitahakikisha kulifikisha ngazi ya juu. Kuitwa askofu hakukufanyi kuwa malaika
Inaonekana hujui historia na nia ovu ya hilo kanisa, ni bora ukae kimya!!Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka
Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Sasa unashindwa kujua nini? Inamaana msimamo wa TEC ndio msimamo wa makanisa katoliki nchini. Sasa mmekubaliana huko kanisani kwamba mtashiriki uchaguzi halafu mnakuja kutuhadaa huku mitandaoni kwamba mnayapinga maamuzi yenu ya kanisani.Mimi kama Mkatoliki imeniuma sana kuona Rais wa TEC anatetea ubarudhuli kama huu. Ikumbukwe Rais wa TEC ndiye msemaji wa kanisa kwa hiyo anapokuja kutoa neno inatakiwa afikirie sana. Sipendi kuongelea udini na ukabila ila Nyaisonga kama Msukuma alitakiwa mapenzi yake hayafiche na ajue waumini wake wanafuata itikadi tofauti. Amenikwaza sana hata jana nikamuomba Mungu wangu nyumbani badala ya kwenda kanisani
nahisi hao wote ni watu kanda maalum(kabda ya ziwa).Bora ukasali chini ya mti kuliko kusalishwa ndani ya kanisa na Nyaisonga na Yule paroko wa osterbay, wameamua kushirikiana na shetani waziwazi.
Kanisa Katoliki libabaishwe na vitisho uchwara kama vyako! Eti waumini watagoma? Hulijui Kanisa Katoliki na waumini wake weweee! Bora ungekaa kimya!Kanisa limepata viongozi wa hovyo kabisa kupata kutokea, huyo Nyaisonga sijui ni mdudu gani kwa kweli. Yaani badala ya kuongea vitu ambavyo vitaliweka taifa pamoja yeye anakwenda kuongea vitu vinavyoleta mipasuko katika taifa!!
Nguvu ya Kanisa inatokana na waumini wake sasa subiri waone watakavyobaki peke yao, kumbe kelele zote zile za wakati wa Kikwete zilisikika sababu ya uungwana na upole wake, sasa hivi chuma kinaongoza nchi Kanisa limeukana wajibu wake mara tatu kabla Jogoo halijawika.
Kumbe Tundu Lissu yupo imara zaidi ya kanisa?? Mbowe ambaye anayepitia misukosuko mingi ya kuwekwa ndani, kuharibiwa mali zake, kunyang'anywa mali zake kumbe yupo imara kuliko viongozi wa Kanisa ambao wao wanajali hadhi zao tu na si hadhi ya kanisa!!!
Unachoongea hueleweki labda ungesoma nilichoandika badala ya kudandia train mbeleSasa unashindwa kujua nini? Inamaana msimamo wa TEC ndio msimamo wa makanisa katoliki nchini. Sasa mmekubaliana huko kanisani kwamba mtashiriki uchaguzi halafu mnakuja kutuhadaa huku mitandaoni kwamba mnayapinga maamuzi yenu ya kanisani.
Mi msabato ila kuanzia jumapili hii nahamia kanisa imara na haki kanisa Katoriki
Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.
Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Hii ni aibu kubwa sana kwa kanisaKanisa katoliki lina historia ya kushabikia ukatili na kujikomba na serikali dhalimu!
![]()
Rwanda genocide: Catholic church sorry for role of priests and nuns in killings
‘We didn’t show that we are one family but instead killed each other,’ say bishops in statement marking the end of the holy year of mercywww.theguardian.com
![]()
Pope apologizes for Catholics' participation in Rwanda genocide
Pope Francis meets with Rwandan President Paul Kagame: Francis "conveyed his profound sadness, and that of the Holy See and of the church, for the genocide against the Tutsi," the Vatican said. "He expressed his solidarity with the victims and with those who continue to suffer the consequences ofwww.ncronline.org
Jayo ni maoni yako, ni vizuri ume share na mimi nina kushauri uyatunze.Kanisa Katoliki libabaishwe na vitisho uchwara kama vyako! Eti waumini watagoma? Hulijui Kanisa Katoliki na waumini wake weweee! Bora ungekaa kimya!
Mwananchi tafadhari acha jazba soma unielewe. Ninachomaanisha kanisa katoriki wameridhia kushiriki uchaguzi ( na wewe ukiwepo), baada ya kuridhia huko kanisani mkatuma msemaji wa kanisa atutangazie sisi kuwa mmekubaliana mkapige kura. Sasa mnapojifanya mnapinaga wakati mliadhimia huko kanisani ni kipi? Au kutuhadaa sisi makamanda wa kilutheri?Unachoongea hueleweki labda ungesoma nilichoandika badala ya kudandia train mbele
Nayatunza na nitakukumbusha.Jayo ni maoni yako, ni vizuri ume share na mimi nina kushauri uyatunze.