Kanisa katoliki lijitafakari

Kanisa katoliki lijitafakari

Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.

Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.

Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.

Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.

Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Ni kweli hii Taasisi muda wao wa kujitafakari umefika....taasisi inataka kuwa tawi la chama twawala...ni mambo ya ajabu kabisa.
 
Kanisa katoliki halikushirki kama mamlka.. ni makasisi wake ambao walafanya hivo out of their own weakness..Kanisa linaomba radhi kama waungwana tu na halikuhusika kama mamlka...

There is very thin line between the church and its representatives here on earth. Makasisi wanapofanya vizuri Kanisa linapokea sifa. Vivyo hivyo wakifanya vibaya pia wapokee lawama kwani ni taasisi inayoongozwa na binadamu ambao hawajakamilika kwa namna yoyote ile.
 
Napendekeza yafanyike mapinduzi ya TEC, huyu Askofu Nyaisonga siyo sawa kabisa, huyu ni kibaraka wa Serikali kwa 100%.
Hatujazoea TEC kuwa na msimamo baridi namna hiyo ingawa tumezowea kuona msimamo binafsi ya Askofu mmoja mmoja dhidi ya Serikali.

Kama TEC inayumba kutoka msimamo wa mwaka 2017 ikiwa chini ya Askofu Ngalelikumtwa wa Iringa basi Wakatoliki tumeingia choo cha kike na hatutoki humo nguo mpaka 2023 baada ya uchaguzi mwingine wa Rais wa TEC. Vitendo vinavyofanywa na awamu ya Meko ni vya kukemewa na kila mcha Mungu. Kweli TEC inahimiza twende tukapige kura tarehe 24/ 11 kwenye haya mazingira ya ukandamizaji wa wazi wa demokrasia namna hii?? Ina maana hawajaona wala kusikia ? Je walitoa kauli gani walipoambiwa 90% ya wagombea wa upinzani wameenguliwa kwa sababu za kijinga?

Ni wakati sasa Baraza la Maaakofu wa Tanzania (TEC) lijitathmini kama liko sahihi kuongoza roho za waumini wao wapatao 10 Milioni. Otherwise wakae kimya tu.

Tunashindwa hata na wa morovian walio na wafuasi 500 nchini?

Big up Dr Shoo kwa kutoa msimamo ya wana KKKT wapatao 6 Milion nchini. Umebaki ndiyo mtetezi wa Wakristu wote kwa sasa.

Kwa maoni yangu, haiwezekani wagombea wa upinzani pekee tu ndio wafanye makosa ya kupelekea kuenguliwa. Lakini hata ingekuwa kweli hilo limemtokea kwa kiwango hicho, na baada ya kuona kuwa zaidi ya 90% yao wameenguliwa; na kwa kuzingatia unyeti wa uchaguzi katika ngazi hiyo ya chini, ilitarajiwa kuwa watakuwepo watu wenye mapenzi mema watakaoshauri busars itumike na mchakato huo utazamwe upya kwa lengo la kutoa nafasi kwa raia wote kushiriki kugombea na kuchagua. Sehemu ya kwanza kabisa ambapo sauti hizo za kutaka mchakato utazamwe upya zilitarajiwa zitoke ni madhehebu ya dini. Ikitokea kinyume chake; yaani madhehebu ya dini yasione ukubwa wa tatizo na kubariki mchakato wa uchaguzi uendelee hivyo hivyo basi kuna tatizo kubwa sana.
 
Kanisa haliwezi tetea wala ruzuku wasiotaka kufanya uchaguzi ndani ya vyama vyao
Bali litawatetea wabaka demokrasia wanaojali kununua matoy yasiyo na faida kwa mkulima wa like kijijini kwenu! Akili zako na hao mapadre na maaskofu wasio na familia zimebunguliwa kwa kiwango Cha juu sana!
 
Soma Historia ndugu yangu Storia Della Chiesa.......Kanisa Katoliki halijawahi kuwa watetezi wa wanyonge kokote kule Ulimwenguni...... Nenda Sauzi ya Makaburu, nenda Ujerumani ya Hitler, Nenda Italia ya Mussolin, Nenda Rwanda ya Genocidenk

Ulichokiona wakati wa awamu ya nne ni chuki tu dhidi ya Muislamu na Waislamu! Rudi nyaraka wakati wa awamu ya 2. Awamu ya 3 Kanisa halikuandika hata nyaraka moja kuikosoa serikali.Mwinyi aliandikiwa 3.

Isitoshe Codes Iuris Canonici ya 1983 Marais wote wakatoliki wako juu ya Maaskofu maana mamlaka yao inaojiwa na Baba Mtakatifu peke yake!
 
nimepata faraja kwa post yako
Askofu Nyaisonga atulie tu kwa kuwa hamna sehemu kwenye biblia inayomlazimisha muumini kupiga ama kutopiga kura awaache waumini waamue wenyewe.
 
Kumbukeni Kanisa sio la Mungu..ili ni kanisa la watu yaani makundi flani yaliyojiwekea utaratibu wa kunyonya mali na pesa. Sasa nawashangaa mnoachanganya kanisa na Mungu.
Note: Mungu yupo nanyi mnaofanyia dhuluma na visasi siku zote.
 
Kwa maoni yangu, haiwezekani wagombea wa upinzani pekee tu ndio wafanye makosa ya kupelekea kuenguliwa. Lakini hata ingekuwa kweli hilo limemtokea kwa kiwango hicho, na baada ya kuona kuwa zaidi ya 90% yao wameenguliwa; na kwa kuzingatia unyeti wa uchaguzi katika ngazi hiyo ya chini, ilitarajiwa kuwa watakuwepo watu wenye mapenzi mema watakaoshauri busars itumike na mchakato huo utazamwe upya kwa lengo la kutoa nafasi kwa raia wote kushiriki kugombea na kuchagua. Sehemu ya kwanza kabisa ambapo sauti hizo za kutaka mchakato utazamwe upya zilitarajiwa zitoke ni madhehebu ya dini. Ikitokea kinyume chake; yaani madhehebu ya dini yasione ukubwa wa tatizo na kubariki mchakato wa uchaguzi uendelee hivyo hivyo basi kuna tatizo kubwa sana.
Hii habari imenishtua sana kwa kusemwa na mmoja Kiongozi wa Baraza la Maaakofu Tanzania. Lakini tunajuwa yeye siyo kanisa katoliki bali ni ni Gervasi Nyaisonga mwenywe. Gervas Nyaisonga anaogopa kifo wakati ni mkristu na mfuasi wa mtume Paulo aliyetufundisha, kuishi ni kristu na kifo ni faida.

Mtumishi wa Mungu anakaa kimya wakati Serikali inaua akina Ben Saanane na Azory Gwanda. Alikuwa kimya wakati Lissu anamiminiwa risasi, yuko kimya wakati demokrasia inaminywa halafu anakuja kuongea ugoro kumfurahisha huyu shetani Jiwe. Hapana huo ni msimamo wake na siyo wa kanisa.
 
Kanisa haliwezi tetea wala ruzuku wasiotaka kufanya uchaguzi ndani ya vyama vyao
Mla ruzuka ni mwenyekiti wenu mwenye akili kisoda,mnakimbilia kuwatisha viongozi wa dini wawasaidie kuwaomba wananchi,pumbavu kabisa huko musoma mkutano umejaa watoto
 
Askofu kula kulala pale kurasini akitoka kaenda Oysterbay, hajui shida za wahumini mtaani
 
There is very thin line between the church and its representatives here on earth. Makasisi wanapofanya vizuri Kanisa linapokea sifa. Vivyo hivyo wakifanya vibaya pia wapokee lawama kwani ni taasisi inayoongozwa na binadamu ambao hawajakamilika kwa namna yoyote ile.
Sure.... lkn n lazima utofautishe kati ya maamuzi ya kitaasisi na maamuz ya watu binafsi waliopo kwenye taasisi husika
 
Hapa tunapingana na kilichosemwa na rais wa TEC. Mimi kama mkatoliki napingana naye pamoja na viongozi wengine kama yeye na nitaanza kulisema kuanzia ngazi ya jumuia na nitahakikisha kulifikisha ngazi ya juu. Kuitwa askofu hakukufanyi kuwa malaika
Naona wewe huijui Roman
Kanisa linaendeshwa kwa misingi na sheria zake!
Huko kwenye jumuiya hakuna siasa, Luna neno LA Mungu na tafakari!
Kama unataka kanisa liseme unachotaka wewe, basi pole
 
Back
Top Bottom