The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Masista wafute kauli yao ya kuunga mkono au waondolewe kwenye utawa wakavae vitenge vya samia mitano tena.View attachment 3478647
Hawa Masista walizingua, huyu bibi anahangaika sana kujitia anakubalika na kanisa katoliki lakini ukweli ni kwamba kajiharibia..
Hata hii picha ukiangalia hawa masista wamefanya hivyo kwa maelekezo ili kusudi kuonyesha wananchi Chura kiziwi hana tatizo na RC...
Bibi anahangaika sana...
Kabisa, hao masista watolewe.. ili iwe fundisho...Masista wafute kauli yao ya kuunga mkono au waondolewe kwenye utawa wakavae bitenge vya samia mitano tena.
Katoliki hawashiriki uchaguzi mpaka itakapotangazwa vinginevyo huko baadaye.
Ni kweli na utakuta na huyo askofu na yeye anapigwa vitisho... hapo atokee askofu mwingine akemee tena..Bila shaka Hawa lazima wawekwe kitimoto.
Naunga mkono hojaMasista wafute kauli yao ya kuunga mkono au waondolewe kwenye utawa wakavae bitenge vya samia mitano tena.
Katoliki hawashiriki uchaguzi mpaka itakapotangazwa vinginevyo huko baadaye.
Kila askofu ana jimbo lake, hao wako kwenye imaya yake yeye ndiye askofu wa jimbo hilo.Kabisa, hao masista watolewe.. ili iwe fundisho...
Lakini huyo Askofu ametisha sana...
Atokee mwingine tena akemee vikali..
Hakika...Kila askofu ana jimbo lake, hao wako kwwnye imaya yake yeye ndiye askofu wa jimbo hilo.
Wengine hayajawatokea labda.
Ila kule Tabora niliona kardinali anajihusisha na siasa TEC hawakusema kitu, nitawakumbusha.
Kardinali hakupaswa hata kumsogelea mgombea wa ccm, lakini alikiuka agizo la TEC, alipotiwe kwa papa afukuzwe au apigwe mapumziko ya miaka 5.
TEC wanashindwa kutamka WAKATOLIKI MSIPIGE KURA october 29. Lakini huo ndio ujumbe hasa.
Sio tu kwa watawa na waseminary hata waumini wote Tanzania.