GE2025 Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

GE2025 Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3478647
Hawa Masista walizingua, huyu bibi anahangaika sana kujitia anakubalika na kanisa katoliki lakini ukweli ni kwamba kajiharibia..
Hata hii picha ukiangalia hawa masista wamefanya hivyo kwa maelekezo ili kusudi kuonyesha wananchi Chura kiziwi hana tatizo na RC...
Askofu ametisha.. piga marufuku hao wauaji kukribisha siasa zao za kishenzi..
Bibi anahangaika sana...
Aibu hii
 
Samia na ccm wanafahamu kwamba Watawa hawatakiwi kujihusisha na siasa au wanafanya makusudi kuiba picha kupa promotions zao kisiasa?

Unaheshimu uongozi halali siyo utawala haramu.

Sababu za TEC kuzuia ni kutoonyesha kuunga mkono chama chochote, wao ccm kwa makusufi wana piga picha na kuzirusha, na watawa wanalifahamu hilo.

Walipoitwa walitakiwa waseme hatutaki picha zozote, wakutane kimya kimya yaishie huko, kuleta pucha inaonyesha uungaji mkono mgombea wa ccm.

Kwa kujua au kutokujua wapewe onyo au adhabu.
TEC inajikanganya kanganya;

Tunachosahau ni kuwa - kila mwandamu ana political preference yake. Haiondoki kwa kuwa Askofu. (Inamezwa tu na kusudi kuu unalotumikia). Mfano wakati Ask. Wolfgang anaoneka ni mhafidhina na pengine ana political preference ya opposition party - Kadinali yeye anaonekana ni moderate na ana political preference ya chama tawala...

Sasa maaskofu wasitumie political preference zao ku-run agenda ngumu za kisiasa. Hili ndio kosa lilipo...na lawama itaenda kwa maaskofu kwa kuwa kipindi hiki wamekuwa very predictable na kulifanya kanisa lionekane kama lina mtazamo hasi na serikali (hata hii ya watawa haikuwa na umuhimu wa kujibiwa waziwazi - wangeweza kusambazaiana waraka ndani kwa ndani na kuadhibiana kwa ndani)
 
Alipiga picha na mgombea wa ccm, kuna tofauti gani na kushika bendera?
Acha mambo Yako ww, sasa huo ubaguzi.

Kwahiyo ww hoja Yako tuwabague wanaCCM !? Kwahiyo ukipiga picha na mwiz ww ni mwizi pia !?
 
TEC kujihusisha na CCM ni siasa, lakini TEC kujihusisha na Chadema ni ibada.
 
Write your reply... Hakika Jambo ni zito; Jambo ni gumu; Jambo ni bichi bado.
 
TEC inajikanganya kanganya;

Tunachosahau ni kuwa - kila mwandamu ana political preference yake. Haiondoki kwa kuwa Askofu. (Inamezwa tu na kusudi kuu unalotumikia). Mfano wakati Ask. Wolfgang anaoneka ni mhafidhina na pengine ana political preference ya opposition party - Kadinali yeye anaonekana ni moderate na ana political preference ya chama tawala...

Sasa maaskofu wasitumie political preference zao ku-run agenda ngumu za kisiasa. Hili ndio kosa lilipo...na lawama itaenda kwa maaskofu kwa kuwa kipindi hiki wamekuwa very predictable na kulifanya kanisa lionekane kama lina mtazamo hasi na serikali (hata hii ya watawa haikuwa na umuhimu wa kujibiwa waziwazi - wangeweza kusambazaiana waraka ndani kwa ndani na kuadhibiana kwa ndani)
Hao wote wanashiriki kutoa maazimio kwenye baraza la maaskofu.

Kama baraza lilisema wasishiriki ni uamuzi wa kanisa kama kuna mmoja hakuridhika ajifue uaakofu akavae vitenge vya samia.

Tec wanapofikia maamuzi hutangazwa kama maamuzi ya kanisa Tanzania siyo ya wolfang au kardinali.
 
Acha mambo Yako ww, sasa huo ubaguzi.

Kwahiyo ww hoja Yako tuwabague wanaCCM !? Kwahiyo ukipiga picha na mwiz ww ni mwizi pia !?
Ukipiga picha na mwizi nawe mwizi ndio.

Uamuzi wa kanisa ni kujitenga na wagombea wote siyo ccm pekee.

Ccm nao wakae mbali na dini, walimfungia Gwajima kwa kumkataa Samia hivyo ccm kutengwa sioni tatizo.
 
Hamna haja ya salamu watu tupo busy.

 
Kila askofu ana jimbo lake, hao wako kwenye imaya yake yeye ndiye askofu wa jimbo hilo.

Wengine hayajawatokea labda.

Ila kule Tabora niliona kardinali anajihusisha na siasa TEC hawakusema kitu, nitawakumbusha.

Kardinali hakupaswa hata kumsogelea mgombea wa ccm, lakini alikiuka agizo la TEC, alipotiwe kwa papa afukuzwe au apigwe mapumziko ya miaka 5.

TEC wanashindwa kutamka WAKATOLIKI MSIPIGE KURA october 29.

Lakini huo ndio ujumbe hasa.

Sio tu kwa watawa na waseminary hata waumini wote Tanzania.
Kumbe huna uelewa wa kiwango hiki kwenye masuala ya Kanisa Katoliki!

Hapo ametoa maelekezo hayo kama Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania. Hivyo ni lazima kauli yake liheshimiwe na Kanisa lote Katoliki la Tanzania.
 
Back
Top Bottom