Oh mmeibuka na huku tena mnaotukana. Nilidhani utumiaji wa VPN unakomaza kumbe najidanganyaAcha uongo we msenge
Oh mmeibuka na huku tena mnaotukana. Nilidhani utumiaji wa VPN unakomaza kumbe najidanganyaAcha uongo we msenge
sista kavaa ndukula ya mhashamMake nkiangalia kiatu cha huyo sista kibonge daaah ni sista kweli huyo au ni braza
Yule jamaa ni zero brainNasikia "BUMUNDA NEPI" ndiyo aliyefanya huo ujinga ,viongozi wa DINI kuogopa kutekwa inabidi waende tu kuunga mkono JUHUDI za BINTI CHURA wa SAMAWATI.
Mzee nimesoma seminari; Masista sio watu wa kuwachukulia poa. Wengine wanafundisha darasani wengine ni madaktari. Toka lini kanisa linachukua watu "maboya" ? Kwenye utawa???Watawa ni “Knowledgeable” tangu lini.
Wapo wasomi ndio, ila si wote.
Nani hakusoma seminary mkuu?Mzee nimesoma seminari; Masista sio watu wa kuwachukulia poa. Wengine wanafundisha darasani wengine ni madaktari. Toka lini kanisa linachukua watu "maboya" ? Kwenye utawa???
Yaani mtawa awe ndanda Hospital halafu awe boya????? Yaani watawa karibu 10 wote kwa ujumla wao ni maboya? Huu utetezi ni mwepesi sana na ni kwa sababu watanzania tukiwa na mahaba na jambo huwa hatu reason.
Mkuu kufikiri Watawa wengi ni vilaza ni kiwango kikubwa cha kutokuwaheshimu watawa. Watawa walioko maeneo nyeti kama hospitali ya ndanda hawawezi kuwa vilaza hata kidogo.Nani hakusoma seminary mkuu?
Nafahamu nachoongea.
Nimesoma Seminary, wapo masista wasomi.Mkuu kufikiri Watawa wengi ni vilaza ni kiwango kikubwa cha kutokuwaheshimu watawa. Watawa walioko maeneo nyeti kama hospitali ya ndanda hawawezi kuwa vilaza hata kidogo.
Watawa 10 wote wawe vilaza? Kwamba mkuu wa shirika pale ndanda kwamba hakujua wanaenda wapi? Askofu ameteleza na kutokuelewa kwa watanzania.
Rationale ni kuwa - kuna kutokukubaliana kwingi ndani ya kanisa. Maaskofu na baadhi ya viongozi wamekuwa a bit harsh (lakini bado wapo pia wenye mtazamo tofauti wengi) refer yule padri wa mtwara nadhani majuzi aliyekuwa akisisitiza kushiriki uchaguzi. Kadinali kukutana mara mbili na Rais nk nk
Tufanyeji analysis za nje ya box. Ila utetezi mrahisi hivi wala hata hauna maana.
I dispute with due respectNimesoma Seminary, wapo masista wasomi.
Na usomi wao unategemea na mashirika yao….
Ila watawa wengi si wasomi.
Ukikizoom unaona kabisa huyu sio sista ni bro tusista kavaa ndukula ya mhasham
Buti la jeje la john sinUkikizoom unaona kabisa huyu sio sista ni bro tu
Dini ndo zishawamiwa ivo!
Hio hapo ndicho Wolfgang amemaanisha ila kuna wenye mafuvu magumu watashiriki tu wawe watawa waseminari au waumini siku hio wanajivua ukatoriki kwa muda wanauvaa UCCMSio tu kwa watawa na waseminary hata waumini wote Tanzania.
Canon law inalataka mkrelo kushiriki siasa don't take it personalTEC inajikanganya kanganya;
Tunachosahau ni kuwa - kila mwandamu ana political preference yake. Haiondoki kwa kuwa Askofu. (Inamezwa tu na kusudi kuu unalotumikia). Mfano wakati Ask. Wolfgang anaoneka ni mhafidhina na pengine ana political preference ya opposition party - Kadinali yeye anaonekana ni moderate na ana political preference ya chama tawala...
Sasa maaskofu wasitumie political preference zao ku-run agenda ngumu za kisiasa. Hili ndio kosa lilipo...na lawama itaenda kwa maaskofu kwa kuwa kipindi hiki wamekuwa very predictable na kulifanya kanisa lionekane kama lina mtazamo hasi na serikali (hata hii ya watawa haikuwa na umuhimu wa kujibiwa waziwazi - wangeweza kusambazaiana waraka ndani kwa ndani na kuadhibiana kwa ndani)
Pamoja na wale wa Chadema?Kanisa katoliki nchini limeweka marufuku kwa watawa wa kike na kiume na kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kujihusisha na kampeni za siasa au kutambulishwa na chama chochote cha kisiasa kama mshirika wao. Na kukumbushwa kwamba jukumu lao ni kuinjilisha kadiri ya wito wao
Katazo hilo limetolewa Septemba 25, 2025 na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap. wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kilele cha jubilee ya miaka 100 ya seminari kuu ya Mt. Paulo Mtume Kipalala Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Askofu Pisa amesema kuwa haitaruhusiwa kwa mtawa yeyote au mseminari katika mazingira yeyote yale atakayeruhusiwa kujihusisha na jambo lolote lenye taswira ya kisiasa hata kama mtawa angekuwa na ndugu mwenye kujihusisha na siasa.
Pia soma: Watawa Katoliki Lindi: Tunamuunga Mkono Rais Samia, Tunamuombea Miaka 5 tena
Samia alikosoa viongozi wa dini kwenye siasa ila tunacho kiona ni unafiki wake kwake viongozi wa dini kuingilia siasa ni kukosoa na kukemea maovu yake ila wakisifia uchafu wake na kumpongeza huko siyo kuingilia siasa.Tatizo humjui huyo Cardinal. Yeye na siasa ni maji na mafuta. Hakuenda mwenyewe ila aliitwa na najua alifanya kazi njema ya kufikisha ujumbe wa walio wengi kwa Samia. Usilolijua ni usiku wagiza. Tuishie hapa
Chura Kiziwi hana hata chembe moja ya aibu. Jitu mikono yake imetapakaa damu za watu wasio na hatia, lakini bado linajisogeza kwa watu ambao wamejitoa kumtumikia Mungu!Kanisa katoliki nchini limeweka marufuku kwa watawa wa kike na kiume na kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kujihusisha na kampeni za siasa au kutambulishwa na chama chochote cha kisiasa kama mshirika wao. Na kukumbushwa kwamba jukumu lao ni kuinjilisha kadiri ya wito wao
Katazo hilo limetolewa Septemba 25, 2025 na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap. wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kilele cha jubilee ya miaka 100 ya seminari kuu ya Mt. Paulo Mtume Kipalala Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Askofu Pisa amesema kuwa haitaruhusiwa kwa mtawa yeyote au mseminari katika mazingira yeyote yale atakayeruhusiwa kujihusisha na jambo lolote lenye taswira ya kisiasa hata kama mtawa angekuwa na ndugu mwenye kujihusisha na siasa.
Pia soma: Watawa Katoliki Lindi: Tunamuunga Mkono Rais Samia, Tunamuombea Miaka 5 tena