Ushawahi jiuliza kwanini kwenye jina lake analolitumia kaliondoa jina Yuda?Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo?
Vatican ni nchi na ina ubalozi wake Tanzania.Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo?
Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba.
Msiwasafishe kwa ya 29/10.
Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
View attachment 3546648
Propaganda uchwara.Ushawahi jiuliza kwanini kwenye jina lake analolitumia kaliondoa jina Yuda?
Kivipi fafanua vizuriPropaganda uchwara.
Kiti. Hicho alichokalia ni cha MamalakaNimependa unyenyekevu wa Askofu kaacha kiti cha kifahari kaenda kukaa kiti cha mbao cha kawaida. Sijui kumpa heshima VP Nchimbi au shida ya mgongo?!
SawaKiti. Hicho alichokalia ni cha Mamalaka
Pengo ni jasusi wa serikali Tiss pure.Kwan wewe ujui jama fr pengo alikua ni nani apa tanzania na gvm kwa ujumla nje na jua kiongoz mkubwa kwenye kanisa ka RC?
Perfect, soma unielewe. Nimesema waje kama waombolezaji wengine. Wapewe hata kiti cha mbele kama serikali ( ingawa ni serikali haramu), lakini wasigharamie msiba.Vatican ni nchi na ina ubalozi wake Tanzania.
Huelewi diplomasia siyo kila tukio la kukaza.
Mugabe alipigwa marufuku kunyaga ulaya lakini msiba wa Paoa John Paul II alihudhuria Vatican ambapo ndege lazima ituwe Rome Italy.
Yule aliyeongoza mazishi ya Jenista alitumia akili ya juu sana kufikisha ujumbe na simulizi yake ya ndoto. Waache wajipeleke wakidhani huko ni kwa kina MwamposaNaamini kwenye mahubiri watapigwa vidonge huko huko kama ilivyokuwa kwa Mhagama
Mipasho haisaidii,hilo kanisa linaihitaji zaidi serikali maana bila kuweka mrija hazina halitoboiNaamini kwenye mahubiri watapigwa vidonge huko huko kama ilivyokuwa kwa Mhagama