gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Serikali iagize silaha kwa jina la makanisa!?Hizo ni story na mitazamo ya watu tu, hizo silaha zikipitishwa zinatumika wapi?? Ni serikali yenyewe inaagiza au nani anaagiza?? 🤔 🤔
Serikali iagize silaha kwa jina la makanisa!?Hizo ni story na mitazamo ya watu tu, hizo silaha zikipitishwa zinatumika wapi?? Ni serikali yenyewe inaagiza au nani anaagiza?? 🤔 🤔
Mbona kama hujamuelewa Dr slaa asee. Msikilize vizuri na pia jiridhishe kwanza CCP ni nini na kwanini yeye alipokuwa katibu wa TEC alizuia (kwa maelekezo ya maaskofu wa RC) CCP kutumiwa kisiasa au kiuharati ikiwemo kupitiaha silaha.Serikali iagize silaha kwa jina la makanisa!?
Unaleta habari za kutomuelewa Ili u-neutralize siyo!?Mbona kama hujamuelewa Dr slaa asee. Msikilize vizuri na pia jiridhishe kwanza CCP ni nini na kwanini yeye alipokuwa katibu wa TEC alizuia (kwa maelekezo ya maaskofu wa RC) CCP kutumiwa kisiasa au kiuharati ikiwemo kupitiaha silaha.
Hujaelewa content ya huo mkutano. Unachoongea wewe is as if Slaa alikuwa anatoa statement kwamba kanisa katoliki linaingiza na kupitisha silaha nchini. Reality ni kwamba kanisa katoliki kupitia mtwndaji wake wa TEC wakati huo Dr Slaa lilizuia uwezekano wowote wa wanasiasa au wenye nia ovu kutumia Baraza la Krikrito Tanzania CCT kupenyeza agenda zao. UsihemukeUnaleta habari za kutomuelewa Ili u-neutralize siyo!?
Kaangalie performances zao and then come for further discussions.Waislam walianza kujenga shule kipindi cha mwinyi,tena baada ya malima kuwa waziri wa kwanza wa elimu muislam, kabla waislam wakiwekewa mizengwe na wizara,sasa waislam Wana shule zaidi ya 300
Kuna shule za kiislam nyingi tu Zina performance nzuri,wewe shule ya waislam unayoijua ni haramain na kinondoni Muslim,hata hivyo hatuzungumzii performance bali kujenga shule, kuhusu performance ule ujinga alioufanya ndalichako 2012 huenda ndiyo michezo wao kwa shule IslamicKaangalie performances zao and then come for further discussions.
Kinaendelea vizuri,kinatoa watu competentHivi chuo cha TANESCO cha Morogoro mlichopewa na Mkapa kinaendeleaje?
Richest folks wanalipa Kodi serikalini, serikali ndiyo inatoa huduma za jamii ikiwemo elimuNa Universities mlizojenga wenyewe ni ngapi na zina maendeleo gani? The richest folks in TZ are Muslims, mchango wao ni upi kwenye ilmu dunia.
Wrong,hapo kasema silaha zilipitishwa kwa jina la kanisa,zingepitishwa kwa jina la msikiti ungeendelea kujifanya Hilo ni suala la kawaida?Hujaelewa content ya huo mkutano. Unachoongea wewe is as if Slaa alikuwa anatoa statement kwamba kanisa katoliki linaingiza na kupitisha silaha nchini. Reality ni kwamba kanisa katoliki kupitia mtwndaji wake wa TEC wakati huo Dr Slaa lilizuia uwezekano wowote wa wanasiasa au wenye nia ovu kutumia Baraza la Krikrito Tanzania CCT kupenyeza agenda zao. Usihemuke
Kuna shule za kiislam nyingi tu Zina performance nzuri,wewe shule ya waislam unayoijua ni haramain na kinondoni Muslim,hata hivyo hatuzungumzii performance bali kujenga shule, kuhusu performance ule ujinga alioufanya ndalichako 2012 huenda ndiyo michezo wao kwa shule Islamic
Kinaendelea vizuri,kinatoa watu competent
Richest folks wanalipa Kodi serikalini, serikali ndiyo inatoa huduma za jamii ikiwemo elimu
Seems you know nothing about that mess.. baseless!!View attachment 3547194View attachment 3547195
-Baseless accusations kuhusu Ndalichako can't be used as an excuse.
Have Your rich folks directly invested in education?-I meant the rich folks to direct invest in education.
Even some of my family members have invested in education, so the answer to this is a very big YEAH.Seems you know nothing about that mess.. baseless!!
Have Your rich folks directly invested in education?
Plenty of Muslim individuals have invested in education including my school Mets(mates)Even some of my family members have invested in education, so the answer to this is a very big YEAH.
So why you said baseless accusations while you know nothing?About the 2012 'mess' would you please put your supporting proofs, it's decades since I've been to TZ.
I said baseless because I've never heard of anyone with proofs on this matter, allegations are still allegations and they can spread like bushfires so for those whom they please their wish will definitely be for everyone to believe them.Plenty of Muslim individuals have invested in education including my school Mets(mates)
So why you said baseless accusations while you know nothing?
Naomba uage lugalo mm ndo msoma risalaMkuu turakuwa wote pale. Katika hiyo Misa Mimi nitakuwa msimamizi