Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

Kuna baadhi ya mambo hawawezi kukaa mbali na serikali hata kama kuna ugomvi ndani yao. 🀝🀝.
Bila serikali hawamalizi mwaka hao,bia kule parokia na maziwa ya kopo vitakosekana, ndiyo maana kutwa na siasa,maana wakikaa wanasiasa wasio na time nao ni disaster
 
Subiri, kanisa lina akili sana hilo,niamini mimi nafasi atakayo pewa kiongozi wa serikali ndio atakayo pewa kiongozi wa chadema, kila mmoja ateme nyongo yake.Samiya sidhani kama atahudhuria.
 
Padri Kitima aomboleze msiba huo kwa tahadhari. Lkn pia yule Chura Kiziwi atulie, akikanyaga tu msibani atapigwa 3 bila.
 
Unajua kanisa lilitoa shule na mahospital mangapi baada ya uhuru
Muulize Kikwete alisoma wapi
Kikwete alisoma shule ya kanisa kabla ya uhuru
Hakuna hospital kanisa lilitoa kwa serikali
Baada ya uhuru nyerere alitaifisha shule japo siyo zote za kanisa Ili kuzuwia waislam kujenga zao,upesi awadhibiti kupitia shule za serikali
 
Don't worry ndugu Retired

Kuna namna na style tofauti za kushirikiana na mjinga, mpumbavu na mwendawazimu kama ilivyo serikali hii haramu ya Samia..

Mfano kama wewe ni mpangaji kwenye nyumba ya baba mwenye nyumba mkorofi, mtukanaji, mzandiki; kabla hujapata namna ya kuachana naye, utalazimika kuishi ktk nyumba yake lakini ISHI NAYE KWA AKILI SANA...

You just, pretend kuwa uko naye, asijue kuwa unamlia target ya kuichukua nyumba yake ANYHOW na kisha kumwachia ujinga wake..!

Hata ktk scenario hii, Kanisa (sio tu Catholic) bali kanisa lote kwa ujumla linatakiwa kuishi na serikali hii haramu kwa akili kabla hawajafurumushwa na kuiachia nyumba yetu..

Let them be there, but see how they will be treated...
 
Marehemu aliwahi kuulizwa dini ya kweli ni ipi? Alijibu dini ya kweli ni upendo na kazi ya viongozi wa dini ni kuhakikisha wafuasi wao wanamfata Mungu kwa njia zinazostahili.
Kwa siku za karibuni kanisa la Katoliki limeshambuliwa sana na serikali ikiwemo viongozi wake kutekwa na kutaka kuuawa, wakatoliki feki waliopewa baraka na serikali ya ccm lakini kanisa katoliki halijachukua hatua ya kulipa kisasi na wala kanisa halina nia ya kutumia kifo cha Pengo kujinufaisha.
 
Bila serikali hawamalizi mwaka hao,bia kule parokia na maziwa ya kopo vitakosekana, ndiyo maana kutwa na siasa,maana wakikaa wanasiasa wasio na time nao ni disaster
Sidhani, kwani serikali inawapa nini kanisa katoliki tofauti na sheria zilizotungwa kuhusu iman nchini ?? πŸ€”.
 
Bila serikali hawamalizi mwaka hao,bia kule parokia na maziwa ya kopo vitakosekana, ndiyo maana kutwa na siasa,maana wakikaa wanasiasa wasio na time nao ni disaster
Ingekuwa kiwepesi hivo basi misikitini kungejaa chokoleti na maziwa. Serikali na kanisa katoliki ni fifty fifty.
 
mtoa hoja ni lofa wa kiwango cha chini mno dah
 
Is like teaching your father how to fuβ€” ck
Hivi unajua Catholic? Almost 2 billion believers and rich!

Wewe? Hata budget yako huna
Nilipo jumuiya Zina zamu ya kuchangia maziwa ya kopo parokia,parokia huoka maandazi,hufyatua tofali na biashara zingine
Mimi namjua padre Dr sivalon na kitabu chake 'kanisa katoliki na siasa Tanzania'..kaandika 'bila serikali kutia mkono taasisi za kanisa zingefungwa kitambo'..naijua pia MoU ya serikali na kanisa kufadhili hospital za kanisa
 
Sidhani, kwani serikali inawapa nini kanisa katoliki tofauti na sheria zilizotungwa kuhusu iman nchini ?? πŸ€”.
Tafuta kitabu cha Padre Dr sivalon 'kanisa katoliki na siasa Tanzania'.. tafuta pia clip ya padre slaa akizungumzia watu kupitisha silaha bandarini kwa jina la kanisa
 
Kikwete alisoma shule ya kanisa kabla ya uhuru
Hakuna hospital kanisa lilitoa kwa serikali
Baada ya uhuru nyerere alitaifisha shule japo siyo zote za kanisa Ili kuzuwia waislam kujenga zao,upesi awadhibiti kupitia shule za serikali
Baada ya Nyerere kipi kikawa kinawazuia?
 
Baada ya Nyerere kipi kikawa kinawazuia?
Waislam walianza kujenga shule kipindi cha mwinyi,tena baada ya malima kuwa waziri wa kwanza wa elimu muislam, kabla waislam wakiwekewa mizengwe na wizara,sasa waislam Wana shule zaidi ya 300
 
Tafuta kitabu cha Padre Dr sivalon 'kanisa katoliki na siasa Tanzania'.. tafuta pia clip ya padre slaa akizungumzia watu kupitisha silaha bandarini kwa jina la kanisa
Hizo ni story na mitazamo ya watu tu, hizo silaha zikipitishwa zinatumika wapi?? Ni serikali yenyewe inaagiza au nani anaagiza?? πŸ€” πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…