Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilikuwa Kanisa mojawapo kati ya Makanisa haya ya Katoliki. Nilimsikia Paroko akisema "Waumini wenzangu naomba sana tujitahidi kutoa mchango wa ujenzi japo hali ya uchumi ni mbaya".Ni kweli na bwana pengo nafsi inamsuta maana alimpiga vita sawia lkn at the end shujaa anaonekana mkwere
Wasabato sio WakristoUnataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Asante Mbekenga, hakuna sehemu ndani ya utaratibu wa Kanisa Katoliki ambayo inatoa fursa kwa mgeni asiye kiongozi wa kidini kusalimia au kusema neno.Tukiweka pembeni udini kuna ka ukweli ndani yake. Katoliki ya halisi mkiingia kanisani wote ni sawa mambo ya salamu zilizo nje ya Ibada Takatifu mnapeana nje ya kanisa. Na ndani ya kanisa utaratibu uliendelea bila kuingiliwa na mtu, bosi ni mwendesha Ibada tu. Naunga mkono hoja, Katoliki turudishieni utaratibu wetu, mambo ambayo yako nje ya Ibada yafanyike nje ya Kanisa.
Mambo ya MUNGU tumpe MUNGU na mambo ya Kaizari tumpe Kaizari. Huyu ni wa Kaizari kwa nini tumpe fursa kusema ya MUNGU.tatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
nyumba za ibada sio sehemu za siasa, ndio maana kuna muktadha sio kila sehemu tuu unaongea kila kitu, mazungumzo hutegemea na wapi mtu alipo.Kwani enzi za JK hakuwahi sema chochote pindi awapo msikitini? Hivi kiongozi wa kisiasa anavyopewa nafasi ktk nyumba za ibada unategemea aongee nini nje ya eneo lake la kazi? Acha hila ndg.
Kanisa linatumika kweli hili na huyu jamaa kageuza madhabahu kuwa majukwaa ya siasa
Wasabato sio Wakristo
Huoni kawataja hapo Wasabato as if they are so soecial xstians ..?Mkuu wapi kaoanisha ukristo na usabato.
Kwanin unatak kutoka nje ya maada
Muda mwingine uwe unaficha uk***za wako itasaidia
Kanisani unaenda kukutana na Kiongozi /padre au Mungu wako...??Mimi ni mkatoliki ila kwa hili naunga mkono ni kweli kabisa, viongozi wa dini wamekuwa wanafiki, ndio maana nimeacha kwenda kanisani
Huoni kawataja hapo Wasabato as if they are so soecial xstians ..?
SDA are not Christians
Nadhan tungerudi kwenye utaratibu wa kutumia majukwaa ya siasa au press conferences za kiserikali kwa mambo ya kiserikali na siasa. Tunaaminishwa kuwa serikali haina dini lakini matamko ya kiserikali yakitolewa kwenye majukwaa ya kidini tunachukulia poa. Viongozi wa dini wanachemka kutoa nafasi kwa viongozi wa serikali kwenye majukwaa yaotatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
Dini Mchezo msafiSiasa mchezo mchafu, dini Je ni nini?