Kanisa Katoliki mnataka kutuharibia nchi?

Kanisa Katoliki mnataka kutuharibia nchi?

Kwani enzi za JK hakuwahi sema chochote pindi awapo msikitini? Hivi kiongozi wa kisiasa anavyopewa nafasi ktk nyumba za ibada unategemea aongee nini nje ya eneo lake la kazi? Acha hila ndg.
 
Ni kweli na bwana pengo nafsi inamsuta maana alimpiga vita sawia lkn at the end shujaa anaonekana mkwere
Jana nilikuwa Kanisa mojawapo kati ya Makanisa haya ya Katoliki. Nilimsikia Paroko akisema "Waumini wenzangu naomba sana tujitahidi kutoa mchango wa ujenzi japo hali ya uchumi ni mbaya".
Nilishangaa sana.
 
Unataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Wasabato sio Wakristo
 
Tukiweka pembeni udini kuna ka ukweli ndani yake. Katoliki ya halisi mkiingia kanisani wote ni sawa mambo ya salamu zilizo nje ya Ibada Takatifu mnapeana nje ya kanisa. Na ndani ya kanisa utaratibu uliendelea bila kuingiliwa na mtu, bosi ni mwendesha Ibada tu. Naunga mkono hoja, Katoliki turudishieni utaratibu wetu, mambo ambayo yako nje ya Ibada yafanyike nje ya Kanisa.
Asante Mbekenga, hakuna sehemu ndani ya utaratibu wa Kanisa Katoliki ambayo inatoa fursa kwa mgeni asiye kiongozi wa kidini kusalimia au kusema neno.
 
Msimamo wangu wa siku zote ni kutokuruhusu kabisa kabisa wanasiasa kupewa madhabahu za nyumba za Ibada kuzungumza chochote.
Mpaka leo hii huwa nawadharau sana viongozi wa dini wanaoruhusu wanasiasa kusimama kwenye madhabahu za dini zao. Ni ujinga mkubwa.
 
Kwani enzi za JK hakuwahi sema chochote pindi awapo msikitini? Hivi kiongozi wa kisiasa anavyopewa nafasi ktk nyumba za ibada unategemea aongee nini nje ya eneo lake la kazi? Acha hila ndg.
Soma vizuri nilicho andika utanielewa.
 
Kwani enzi za JK hakuwahi sema chochote pindi awapo msikitini? Hivi kiongozi wa kisiasa anavyopewa nafasi ktk nyumba za ibada unategemea aongee nini nje ya eneo lake la kazi? Acha hila ndg.
nyumba za ibada sio sehemu za siasa, ndio maana kuna muktadha sio kila sehemu tuu unaongea kila kitu, mazungumzo hutegemea na wapi mtu alipo.
 
Aiseee kuna siku wanalolitafuta watalipata tu
 
Mimi ni mkatoliki ila kwa hili naunga mkono ni kweli kabisa, viongozi wa dini wamekuwa wanafiki, ndio maana nimeacha kwenda kanisani
Kanisani unaenda kukutana na Kiongozi /padre au Mungu wako...??

Hujui kinachokupeleka kanisani ehh??
 
One man show yeye ndo mchumi yy ndo dactari yy ndo mwanasiasa nchi nzima na yy ndo anaeza simama popote na kuongea lolote
 
tatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
Nadhan tungerudi kwenye utaratibu wa kutumia majukwaa ya siasa au press conferences za kiserikali kwa mambo ya kiserikali na siasa. Tunaaminishwa kuwa serikali haina dini lakini matamko ya kiserikali yakitolewa kwenye majukwaa ya kidini tunachukulia poa. Viongozi wa dini wanachemka kutoa nafasi kwa viongozi wa serikali kwenye majukwaa yao
 
Back
Top Bottom