Kanisa Katoliki mnataka kutuharibia nchi?

Mimi ni mkatoliki ila kwa hili naunga mkono ni kweli kabisa, viongozi wa dini wamekuwa wanafiki, ndio maana nimeacha kwenda kanisani
Nahisi hata michango ya kanisa hutoi siku hizi.
 
Unataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Ndio,
Wasabato wako vizuri
 
Sina bifu na Taasisi au mtu binafsi. Ila napenda utaratibu wa kila sehemu uzingatiwe. Kama mtu anataka kuzungumzia mambo ya Siasa asitumie Kanisa kama jukwaa. Utafutwe utaratibu mwingine. Mimi binafsi ya Lowasa siyajui maana sipendi kujikita kwa kitu nisicho na uhakika nacho.
 
 
Asante KWEZISHO,

Hapa najaribu kuepusha migongano ya kidini hapo baadae. Kama mwanasiasa anaona ni muhimu kutoa taarifa zake za kisiasa basi aruhusu mikutano ya siasa au kuwe na press conference au kuwe na hotuba maalumu.
 
Asipewe nafasi, kwa sababu siyo lazima.
 
Bosi wa Kilaini ni Pengo. Ukiona bosi yupo kimya ina maana
1. Alimpata mgao

au

2. Amekubaliana na hiyo hali

Pengo ni bosi wa kilaini?,hivi unajua unachokisema? Pengo ni bosi wa maaskofu wasidizi wa jimbo kuu la dsm na siyo huyo kilaini wa Bukoba.
 
ArD67, Wakijirudi nitawapongeza sana. Siyo wao tu hata nyumba nyingine za ibada pia.
 
Mimi mkatoliki lakini mambo wanoyafanya yananiumiza sana siku hizi nikitaka kusali ni nyumbani panatosha Mungu atapokea sala zangu
 
Pengo ni bosi wa kilaini?,hivi unajua unachokisema? Pengo ni bosi wa maaskofu wasidizi wa jimbo kuu la dsm na siyo huyo kilaini wa Bukoba.
Mwadhama Cardinal Polycarp Pengo.

Uliza Wakatoliki juu ya hicho cheo watakuelekeza wadhifa alionao Cardinal Pengo.
 
Kanisa Katoliki kila kwenye dhambi lipo, mauaji ya halaiki Rwanda etc
 
Maneno yako sawia maana haya yangefanyika misikitini ingekuwa kelele sana ni vyema nyumba za ibada zikawekwa mbali na siasa
Angekuwa kiongozi kazungumzia msikitini ungeona waraka wa makanisa na matangazo ya udini kwakuwa makanisa yana haki zaidi na waumini wao
 
Asante Mkuu BAFA.

Kuna wakati nadhani JK baadhi ya mambo aliandamwa kwa sababu ya Imani yake na siyo utendaji wake.
Ni kweli kabisa kikwete aliponzwa na imani yake sio utendaji wake
 
Hata wakuu ww kanisa wanamuogopa mkulu kumwambia humu sio pa kutolea matamko.
 
tatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
Nimekuelewa sana itabidi wakati mwingine asipewe nafasi ya kusalimia maana atavuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…