samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,602
- 4,811
Sio kanisa katoliki tu, kwa sasa ni makanisa yote hadi misikiti, siasa mpaka inakera
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kanisa katoliki tu, kwa sasa ni makanisa yote hadi misikiti, siasa mpaka inakera
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ndio,Unataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Sina bifu na Taasisi au mtu binafsi. Ila napenda utaratibu wa kila sehemu uzingatiwe. Kama mtu anataka kuzungumzia mambo ya Siasa asitumie Kanisa kama jukwaa. Utafutwe utaratibu mwingine. Mimi binafsi ya Lowasa siyajui maana sipendi kujikita kwa kitu nisicho na uhakika nacho.Mkuu mleta uzi unaonekana una bifu binafsi na kanisa katoliki kwa sababu yoyote unayoijua ww. Karibu kila dhehebu ama dini viongozi wa kisiasa hupewa nafasi ya kuwasalimia waumin na huzungumza mambo mbalimbali yakiweyo yanayoleta uchochezi, chuki na ubaguzi. Kama ni mfuatiliaji mzur kabla ya uchaguz lowasa alinukuliwa ktk kanisa moja la KKKT akihimiza achaguliwe eti kwa sababu hakujawahi tokea rais mlutheri .mbona hukutokwa na povu kama leo?, Anyway kanisa katoliki lianzaje kukemea serikali eti haijapandisha wafanyakazi madaraja mara hawajalipwa posho are you serious? Ina maana kanisa ligeuke kuwa chama cha wafanyakazi? Kazi ya vyama vya wafanyakazi ni zipi?. Mkuu kwa povu hilo dhidi ya kanisa katoliki "kunywa maji ulale tu hamna jinsi"
Habari wanabodi..
Awali ya yote ninaomba niwapongeze wale wote ambao wamefanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2017.
Pili nawapa pole wale wote ambao wameanza mwaka kwa matatizo mbalimbali. Ninaamini MUNGU atawapa Faraja.
NAOMBA NIJIKITE KWENYE MADA.
Labda nianze kueleza taratibu za Kanisa Katoliki katika ibada zake.
Kanisa Katoliki lina sehemu kuu mbili za katika Ibada;
1. Liturjia ya Neno
2. Liturjia ya Ekaristi
Sehemu hizo zote mbili hazimruhusu mtu kusema neno lolote lililo nje ya utaratibu wa Kikanisa. Hata wakati wa matangazo hutakiwi kutangaza jambo ambalo Kiongozi Mkuu (Paroko au Askofu) halifahamu.
Pia Kanisa halina utaratibu wa kuruhusu mambo ya SIASA ndani ya Kanisa bali hutoa msimamo usiofungamana na upande wowote ili kutoadhiri msimamo wa Waumini. Japo linaruhusu KUKOSOA na KUPONGEZA PIA.
WAPI KANISA LINATAKA KUTUHARIBIA NCHI?
1. Kuruhusu hotuba za Kisiasa ndani ya Kanisa. Hili nionavyo mimi litaharibu Nchi. Wanasiasa wanayo majukwaa yao ya kuzungumzia mambo yao ya siasa na siyo Kanisani. Siku za hivi karibuni Kanisa Katoliki limekuwa likiwaruhusu wanasiasa kusimama Madhabauni na kutoa hutoba zao za Kiserikali na Kisiasa ama kwa kujibu hoja fulani au kutoa matamko ama kusambaza Kauli Mbiu fulani, (tafsiri yangu ya haraka hapa ni kwamba wanasiasa wanahitaji "mass support" hata kama wanafanya jambo baya). Kwa hili Kanisa halitendi haki maana viongozi wa Nchi hii ni wetu sote. Kama viongozi wetu wanahitaji kujibu hoja, kutoa matamko au kusambaza kauli mbio wasitumie NYUMBA ZA IBADA.
KANISA KATOLIKI WAPENI WATU NAFASI KANISANI YA KUSALIMIA TU NA KUSISITIJA JUU YA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO NA UWAJIBIKAJI NA SIYO VINGINEVYO.
2. Matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki. Hawa viongozi ni lazima wajikite kwenye ukweli na siyo kujipendekeza. Nyakati hizi viongozi wa Kanisa Katoliki wamekuwa ni watu wa kupongeza tu bila kukosoa ukilinganisha na nyakati za nyuma.
a. Mmepongeza yale mazuri =
b. Kwa nini hamkosoi na kusema ukweli juu ya mambo ambayo Serikali inakosea au hata kuhoji tu?. Mfano sijasikia mkikosoa au kuhoji juu ya,
nikiwa kama mkatoliki sikubaliani na haya mawazo yako
i. Ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi.
ii. Matumizi ya fedha za wahanga wa Kagera.
iii. Nyongeza ya mishahara ambayo ni haki ya mfanyakazi.
iv. nk
KANISA KATOLIKI MKIENDELEA HIVI MTATUHARIBIA NCHI YETU.
Nawasilisha.
Asante KWEZISHO,Hiki kitabia kikianza na kufumbiwa macho wasije wakaanza kutafuta mchawi. Siwezi kusahau jinsi Mwembe Chai ilivyopigwa mabomu kisa kuchanganya dini na siasa. Naona labda Mheshimiwa amejisahau na kwa kuwa yuko juu ya sheria hakuna anayemkumbusha, wakianza wengine kutumia madhabahu asije kulalamika na kuwachukulia hatua zisizostahiki.
Asipewe nafasi, kwa sababu siyo lazima.Sioni kama kanisa linashida, utaratibu wake ni ule ule!
Shida ipo kwa hawa wanasiasa, mfano huyu Bwana yule amekuwa mtu wa kutopangiwa kitu cha kuongea, hata akiambiwa hapa hupaswi kusema hivi yeye ng'o atalipuka tu na yale anayoyataka yeye ili apate sifa...
Wanasiasa ndio wenye matatizo!!
Bosi wa Kilaini ni Pengo. Ukiona bosi yupo kimya ina maana
1. Alimpata mgao
au
2. Amekubaliana na hiyo hali
ArD67, Wakijirudi nitawapongeza sana. Siyo wao tu hata nyumba nyingine za ibada pia.Mkuu umenena vyema, kwanza mi nilijuavyo hili kanisa hata hiyo nafasi ya mtu kusalimia kanisani pia ni geni. Ndani ya kanisa ni ibada tu, nimekulia ukatoliki naujua vyema.
Hakuna mazungumzo nje ya ibada kanisani. Labda ndo mabadiliko haya, siku hizi hata wanacheza mdumange kanisani. Mkuu, umewapa ushauri mzuri sana. Nilijuavyo hili kanisa, liko smart litajirudi.
Hii tuipinge kwa nguvu zote.Sio kanisa katoliki tu, kwa sasa ni makanisa yote hadi misikiti, siasa mpaka inakera
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Mwadhama Cardinal Polycarp Pengo.Pengo ni bosi wa kilaini?,hivi unajua unachokisema? Pengo ni bosi wa maaskofu wasidizi wa jimbo kuu la dsm na siyo huyo kilaini wa Bukoba.
Angekuwa kiongozi kazungumzia msikitini ungeona waraka wa makanisa na matangazo ya udini kwakuwa makanisa yana haki zaidi na waumini waoManeno yako sawia maana haya yangefanyika misikitini ingekuwa kelele sana ni vyema nyumba za ibada zikawekwa mbali na siasa
Ni kweli kabisa kikwete aliponzwa na imani yake sio utendaji wakeAsante Mkuu BAFA.
Kuna wakati nadhani JK baadhi ya mambo aliandamwa kwa sababu ya Imani yake na siyo utendaji wake.
Nimekuelewa sana itabidi wakati mwingine asipewe nafasi ya kusalimia maana atavuka mipakatatizo siyo kanisa..tatizo ni yule anaepewa nafasi kusalimia waamini ndo hajielewi nahisi mnamjua mdomo wake usivokuwa na mipaka
M M M ! !Maneno yako sawia maana haya yangefanyika misikitini ingekuwa kelele sana ni vyema nyumba za ibada zikawekwa mbali na siasa