Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Wapi huko mkuu?Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Uje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Hakika hizi siyo practices za kanisa Katoliki. Labda ni parokia yenu ndiyo ina matatizo.Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Zamani wazungu walikua wanahudumia kila kitu, sahivi misaada imepungua gap la wazungu inabidi waumini walizibeNi kukaa ki master Vatican imepunguza misaada na mahitaji yameongezeka!
Kwakweli acha tuvizie tuUje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.
Kila mtu ana parokia yake na jimbo lake. Hivyo jambo likifanyika kwenye parokia au kigango chako usianze kulihusisha kanisa zima Katoliki.
Kila Jimbo, Parokia au kigango kila utaratibu wake na uongozi wake.
Na unao Uhuru kamili wa kutoa maoni, mapendekezo, ushauri lipi baya halifai au lipi jema liendelee kupitia jumuiya yako, mikutano ya Kigango au Parokia yako ambapo wajumbe wa mikutano hiyo wanatokana na jumuiya.
Ila kama huwa husali jumuiya au kushiriki masuala yote ya kanisa unavizia matukio tuu, ubatizo, kipaimara, komunyo au ndoa na misiba hakika wacha mnyooshwee kisawa sawa.
Ndio uhalisia na hata utoaji wa sadaka siku hizi sio mkubwa watu wanatoa 500 au mwingine hatoi kabisaZamani wazungu walikua wanahudumia kila kitu, sahivi misaada imepungua gap la wazungu inabidi waumini walizibe
Tuchangie hata kidogo sio mbaya pale tunapokuwa nachoIla kanisa la Roma limezidi mimi kwangu naona mchango wa halali ni zaka na sadaka
Changia kanisa acha kulialia.Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Hiyo kujimaliza kwa kinamwamposaBora nyie sis Hk kwetu tunasadaka inaitwa kujimaliza…… watu tunajimaliza bila kupend
Utaratibu wa kuchangia unajulikana.Huu mwingine unyanyasaji.Changia kanisa acha kulialia.
Halafu unasepa?Mimi naendaga kanisani kuwapeleka wanangu