Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengi tu sahv yapo hivyo,,,ni machache kwa sasa ambayo yamebaki kama zamani,,,,,,,kwa sasa matangazo ya michango na harambee ni kama part ya misa,unaweza ukakaa nusu saa nzima ni makelele ya michango tuu na jamaa wanakua wakali kama wao ndo sir God kashuka duniani kudai chakeHilo ni kanisa lenu mkuu heri ungetaja kigango na parokia ipi
Ndio mmiliki wa shule ya sekondari ya Alfa.Usanii tu huyo si ndo yule mwenye ile shule wanamuita faza pekupeku,,,,,,anaishije kifukara wakati ana shirika linamuhudumia,,,,mafukara wapo ila sio hawa
Anaishi kifukara ila sio fukara.....ni kama ndani una msosi ila ukaamua kushinda njaaNdio mmiliki wa shule ya sekondari ya Alfa.
Ukweli anaishi kifukara na pengine ni moja wapo wa mapadre wachache wanao ishi viapo na nadhiri zao kikamilifu.
Padre wa kanisa katoliki anaweka nadhiri na kiapo cha Ufukara, useja na utii.
Wengi wa mapadre ufukara hawajaweza kuwa waaminifu kwa hilo.
Naam, sio fukara kwa vyovyote vile, lakini aina ya maisha yake na huduma yake ya kidini ni ya kuigwa na kupongezwa maana sio wote wanao jaliwa kuwa kama yeye japo wanapaswa kuwa hivyo .Anaishi kifukara ila sio fukara.....ni kama ndani una msosi ila ukaamua kushinda njaa
akili kumkichwaNaam, sio fukara kwa vyovyote vile, lakini aina ya maisha yake na huduma yake ya kidini ni ya kuigwa na kupongezwa maana sio wote wanao jaliwa kuwa kama yeye japo wanapaswa kuwa hivyo .
Hakika! Nakuelewa ndugu yangu.akili kumkichwa
Tunaomba usi-generalize tafadhali! Kanisa Katoliki linajielewa! Kwa akina Mwamposa mkiagizwa kuku mweupe mnapeleka bila kuhoji! Wacha hizo mkuu! Sasa unataka nani aje akujengee Parokia yako?Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Kwani lazima zijengweTunaomba usi-generalize tafadhali! Kanisa Katoliki linajielewa! Kwa akina Mwamposa mkiagizwa kuku mweupe mnapeleka bila kuhoji! Wacha hizo mkuu! Sasa unataka nani aje akujengee Parokia yako?
Ni sahihi shida hata hizo sadaka watu wanatoa buku tu, kwa mwezi akienda ni afu 4. Zaka unakuta mwaka mtu anatoa afu 20 tu.Ila kanisa la Roma limezidi mimi kwangu naona mchango wa halali ni zaka na sadaka
Niliacha kwenda church kimkakatiMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Nimecheka kama mazuri, pole muamini wa BwanaMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto,halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda.Michango ya ujenzi inautaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Father Peku PekuWapo ndugu yangu kuna huyu padre mwitaliano anaye hudumu Morogoro anaishi kifukara kwa uhalisia japo milioni milioni hizi kwake ni kama mia View attachment 3006791
Kuna mchango eti wa mashindano kati ya UWAKA (chama cha wanaume); WAWATA (chama cha wanawake); VIWAWA (chama cha vijana) na UTOTO MTAKATIFU (chama cha watoto) nani atamzidi mwenzake wakati hawa wote wanatoka familia moja au nyumba moja. Ni kama KIKOKOTOO cha aina fulani hivi.Nimehesabu bahasha nilizonazo toka mwaka jana zinafika 15. Hio ni michango ambayo sijaitoa kabisa.