Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika zamu ya bench lako unainuka kuwasapot unaelekea toiletHili suala miaka ya karibuni limewachosha waumini wengi, ndo maana imefika hatua hata waumini wengine kutopenda kwenda kanisani wala jumuiya,.
Siku hizi kama mtu huna sadaka huwezi kwenda kanisani, maana wananyanyua bench moja baada ya nyingine.
Badala ya kusema 'Kanisa Katoliki' nilitegemea useme 'Parokia ya Mt. fulani'. Ukisema Kanisa Katoliki unamaanisha ni utaratibu wa RC ulimwenguni kote, kumbe ni kwenye Parokia yako na labda nyingine baadhi. Huo ni utaratibu na mara nyingi unakuwa umewekwa na Kamati Tendaji ya H/Walei ya Parokia husika. Njia sahihi ni kufikisha ujumbe katika vikao vya Halmashauri ya Walei ya Parokia yako.Kanisa Katoliki mnazingua, michango imekuwa kero
Yupo sahihi kuzungumzia Parokia, maana nyingine zipo katika hatua ya ujenzi wa Kanisa, nyingine zina kanisa ila zinajenga mradi fulani kama vile ukumbi wa sherehe, nyingine zinakichangia kigango hadi hatua fulani ili kijitegemee nk. Michango ambayo ni common katika Kanisa Katoliki ni zaka, mavuno na ada za kupata sakramenti kadhaa kwa ajili ya mambo ya kiutawala kama vile kutengeneza vyeti.Haya mambo usizungumze tu kama muumini wa Mwamposa au nabii wanaoota kama uyoga siku hizi.
Katoliki ni moja, kanisa la kimapokeo. Ukisema ni Parokia yake n.k unakuwa unamaanisha?
Huko bora kufa sina dini nitakuwa na cha kumwambia Mungu kuliko kuwa upande huo.Karibuni Sana.
Jambo lipi linalokukwaza?Mimi nipo Huko Toka tumboni mwaa mama, Alhamdulillaah!!!Huko bora kufa sina dini nitakuwa na cha kumwambia Mungu kuliko kuwa upande huo.
Unapinga nini wakati unaambiwa Kanisa ni moja, takatifu, katoliki na la mitumeUje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.
Kila mtu ana parokia yake na jimbo lake. Hivyo jambo likifanyika kwenye parokia au kigango chako usianze kulihusisha kanisa zima Katoliki.
Kila Jimbo, Parokia au kigango kila utaratibu wake na uongozi wake.
Na unao Uhuru kamili wa kutoa maoni, mapendekezo, ushauri lipi baya halifai au lipi jema liendelee kupitia jumuiya yako, mikutano ya Kigango au Parokia yako ambapo wajumbe wa mikutano hiyo wanatokana na jumuiya.
Ila kama huwa husali jumuiya au kushiriki masuala yote ya kanisa unavizia matukio tuu, ubatizo, kipaimara, komunyo au ndoa na misiba hakika wacha mnyooshwee kisawa sawa.
Kanisa katoliki lina miradi kibao kuanzia mashule, hospitali na vyuo vikuu, mfano kama Msimbazi Center inaingia pesa ya kutosha, kwa waumini waendelee kukamuliwa? Hizi pesa zinakwenda wapi?Taasisi za kiroho zinapaswa kuwa na miradi ya kuwaingizia vipato kama vile fremu za maduka,mashine za kusaga nafaka,miradi ya ufugaji wa kuku n.k.....Waumini wanapaswa kupunguziwa mizigo ya michango kwa sababu wanatoa sana sadaka na zaka na kingine huwa nashangaa Zaka huwa zinawafikia walengwa yaani wajane,mayatima,wenye madeni,wazee wasiojiweza,walemavu. Zaka zinapaswa kutangazwa kuwa awamu hii tumepeleka zaka katika makundi flani ya wahitaji
Wote ni wale wale tu!Jambo lipi linalokukwaza?Mimi nipo Huko Toka tumboni mwaa mama, Alhamdulillaah!!!
Hahahaha ckujua waumini mnateseka ivi hapa duniani hahaha Bado apo hamna ukakika kama mtaenda mbinguniFikiria siku za Kazi ni Siku 6, siku moja Ukalime kwenye Jumuia, siku ya pili ukalime kanisani, Siku nyingine ni siku ya Mafungo au Ibada ya Mtakatifu Petro.
Una baki na siku tatu, nyingine ukajitolee kwenye hizi shule za Kata za ccm.
Umaskini hauwezi kuisha.
Noma sana tuandamane ama nini😂🖐️Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Sio kweli hata ukienda nchi jirani nao ni hivyohivyo nafikiri haujui chanzo cha hiyo michango ni nini, lazima ujue mzizi wake ndipo unaweza kutatua hilo tatizo, malengo ya dini yalishapotea kama ilivyo elimu nyingine.Swali aliyefanya hesabu ya mwaka 19001 na ya sasa hivi ni sawa? Hesabu ilishabadirika kulingana na wakati nayo dini ni hivyohivyo ila kwa sasa kilichobakia ni vitisho, kutengwa nk.Mimi nimekwambia sitaki kwenda mbinguni kwanini wewe ikuume mpaka uunde kamati ya kunitenga kwenye jamii ninayoishi nayo?.Uje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.
Kila mtu ana parokia yake na jimbo lake. Hivyo jambo likifanyika kwenye parokia au kigango chako usianze kulihusisha kanisa zima Katoliki.
Kila Jimbo, Parokia au kigango kila utaratibu wake na uongozi wake.
Na unao Uhuru kamili wa kutoa maoni, mapendekezo, ushauri lipi baya halifai au lipi jema liendelee kupitia jumuiya yako, mikutano ya Kigango au Parokia yako ambapo wajumbe wa mikutano hiyo wanatokana na jumuiya.
Ila kama huwa husali jumuiya au kushiriki masuala yote ya kanisa unavizia matukio tuu, ubatizo, kipaimara, komunyo au ndoa na misiba hakika wacha mnyooshwee kisawa sawa.
Ila wamezidi kutoa sana michangoMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Ndio kuupata uzima wa milele sio lelemamaHahahaha ckujua waumini mnateseka ivi hapa duniani hahaha Bado apo hamna ukakika kama mtaenda mbinguni
Hiyo ni Kwa mwamposaKuna ile sadaka inaitwa kupanda mbegu, sasa sijui ukipanda ndyo hela zitaota nyingi kwenye wallet.