Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ambaye yuko kwenye Ibada ya maombi kanisani hapo kwa siku kadhaa sasa.
Soma Pia: Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.