Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre lazingirwa na Polisi ili kumkamata John Mnyika

Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre lazingirwa na Polisi ili kumkamata John Mnyika

Mbona polisi wana maisha magumu sana halafu wanatumikishwa kufanya kazi za kipuuzi?

Unakuta polisi hana hata matumaini ya kupata mlo wa kesho lakini wanavyotumikishwa na wanasiasa unawaonea huruma.

Nimeanza kuamini kwanini wanaotakiwa huko ni Div 5.

Wanahitaji watu wenye uwezo mdogo ku reason.
 
Kule mwembechai tuliingia na mabuti bila udhu nsikitini tukawachomoa kwenye kibra,tena tyliingia na mbwa wa polisi
Nakumbuka 98’ kipindi hiko nipo kidato cha 6 Ilboru. Dah Waislamu hawatamsahau Bw. Ben
 
Taarifa ya sada picha ni mchana 🙄
 
Ukiwauliza hao polisi hapo wanafanya haya kwa sheria zipi hakuna hata mmoja anayejua yanapelekwa pelekwa tu kama nyumbu na ndio maana yakistaafu yanakuwa na maisha magumu
Kama Bobi tu. Akiambiwa shika shika...
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?

View attachment 3104662

Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.

Pengo Waambie Wanaccm wenzako waliachie Kanisa liendelee na Ibada.
Huyu si alitakiwa awe kwenye maandamano au kwenda altareni kushiriki ekaristi takatifu ndio maandamano? Ahahahahaha!!!
 
Mara elfu mmngepiga kimya tu.

Bwn. Mwenyekiti angetoa tu tamko la kulaani na kudemand gvt itake action ila sio kwa kuanzisha mambo ambayo watu bado hawajawa tayari.

Kufeli kwa maandamano leo ni aibu kuu kwa Chadema.
 
Mara elfu mmngepiga kimya tu.

Bwn. Mwenyekiti angetoa tu tamko la kulaani na kudemand gvt itake action ila sio kwa kuanzisha mambo ambayo watu bado hawajawa tayari.

Kufeli kwa maandamano leo ni aibu kuu kwa Chadema.
Labda kama huna akili, Maandamano yapi yaliyofeli?
 
Kuna watu wapuuzi wanafurahia hiki kinachoendelea ila hawajui huu ni utamaduni wa udhalimu unajengwa nchi hii na hili litamgusa kila mtu ,kama sio wewe ni ndugu yako wa karibu ataguswa na madhila ya huu unyama ,ni suala la muda tu .
 
Back
Top Bottom