SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Utakuwa ujazaliwa wewe!!!Thubutuuu..š¤£
Kadhia ya Mwembe chai had huku Manzese tulipata kashikash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa ujazaliwa wewe!!!Thubutuuu..š¤£
Huyo ni 2000'sNakumbuka 98ā kipindi hiko nipo kidato cha 6 Ilboru. Dah Waislamu hawatamsahau Bw. Ben
Wastage of public fundsHii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ambaye yuko kwenye Ibada ya maombi kanisani hapo kwa siku kadhaa sasa.
Soma Pia: Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.
Tunawalaumu tu POLISI hawafanhi hivi kwa kupenda wenyewe Tatizo lipo kwenye Katiba yetu, Jeshi lipo chini ya viongozi wa kisiasa Kama, mkuu wa mkoa wa wilaya, Makada wa Chama tawala na kadhalika, Kwahiyo Wakati mwingine wanapokea amri haramu lakini kutokana na katiba yetu haiwapi ulinzi wa ajira zao basi wanabidi watii. Ila jeshi letu ni Jeshi lenye weledi na ujuzi wa hali ya juu sana ndiyo maana pamoja na mapungufu yake lakini tunaweza kuishi kwa Amani. Halishindwi kuchunguza swala lolote lile na linajua kila kitu.Ukiwauliza hao polisi hapo wanafanya haya kwa sheria zipi hakuna hata mmoja anayejua yanapelekwa pelekwa tu kama nyumbu na ndio maana yakistaafu yanakuwa na maisha magumu
Huko kwenye Imani ya Dini wasikngilie kabisa.Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ambaye yuko kwenye Ibada ya maombi kanisani hapo kwa siku kadhaa sasa.
Soma Pia: Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.
Lengo langu kuokoa maisha, sio likesUkitaka kujua hoja yako ni ya kijinga angalia nani amekupa like mara moja.
Kapuku hajawahi kumsaidia yoyoteLengo langu kuokoa maisha, sio likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule yule chawa pro max. Kuna vitu vingine aibu sana hata kama ana mtoto lazima atakua anakana si baba ake mana unakua chawa hadi unatiaaibu.Ukitaka kujua hoja yako ni ya kijinga angalia nani amekupa like mara moja.
Kumbe siku zote huyu jamaa bado anaishi kanisani !? Maisha gani haya ya kuogopa police kiasi hicho!? Au amefanya jinai kubwa sana!?Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ambaye yuko kwenye Ibada ya maombi kanisani hapo kwa siku kadhaa sasa.
Soma Pia: Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.
Inakubalika. Waulize UAMSHO kule Kibiti LindiJe misikitini hii inakubalika au niache ujuaji?
Sio wawa lazimishe, Bali watumie kama kigezo cha kujitoa kuhusika kwake, na kuwashutumu Polisi Kwa kutofanya kazi yao ipasavyoNamshauri J.J Mnyika aende tu akareport Oysterbay ,hiyo kesi ya Mauaji ya Kibao haiwezi kumtia hatiani hata kidogo maana ushahidi tu wa kimazingira utaonyesha tu kwamba hausiki.
Simple tu wanasheria wake wapate print out ambayo itaonyesha wakati tukio linatokea mnyika alikuwa wapi na nani aliyempa taarifa ya hilo tukio la mauaji.
Taarifa ya awali inaonyesha kwamba baada ya Meddy kutekwa ,baadhi ya wafanyakazi waliwapigia ndugu zake meddy na hao ndugu zake ndiyo wakamtaarifu JJ Mnyika ,kwenye Print out itaonekana.
Tatu hao waliofanya tukio kupitia Cyber crime ni simple tu kuwajua ,wakifanya analysis ya numbers zilizotoka Kituo cha Magufuli na zilizobaki tegeta kibo/mjapani complex watawajua watekaji kwa 100%...Kwahiyo wanasheria wa Mnyika wawaforce polisi wafanya analysis ya numbers kujua watekaji halisi.
Kapuku ni mtu wa aina gani?Kapuku hajawahi kumsaidia yoyote