Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ambaye yuko kwenye Ibada ya maombi kanisani hapo kwa siku kadhaa sasa.
Na kila anayeingia na kutoka anasachiwa kama vile anaweza kumficha Mnyika mfukoni.. ahahahaaa, tuliwaambia mliomsifu anaupiga mwingi kwamba hakuna nzi wa kijani mwenye afadhali!
Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Ukiwauliza hao polisi hapo wanafanya haya kwa sheria zipi hakuna hata mmoja anayejua yanapelekwa pelekwa tu kama nyumbu na ndio maana yakistaafu yanakuwa na maisha magumu