and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Alikuwepo, nilimuona.We jamaa leo umeniponza, sijakuona magomeni
Unadhani hiyo itaondoa huo Umasikini unaokuandama?Apigwe tu
Hakuna namna
Kule mwembechai tuliingia na mabuti bila udhu nsikitini tukawachomoa kwenye kibra,tena tyliingia na mbwa wa polisiJe misikitini hii inakubalika au niache ujuaji?
Thubutuuu..🤣Kule mwembechai tuliingia na mabuti bila udhu nsikitini tukawachomoa kwenye kibra,tena tyliingia na mbwa wa polisi
Nakumbuka 98’ kipindi hiko nipo kidato cha 6 Ilboru. Dah Waislamu hawatamsahau Bw. BenKule mwembechai tuliingia na mabuti bila udhu nsikitini tukawachomoa kwenye kibra,tena tyliingia na mbwa wa polisi
Kama Bobi tu. Akiambiwa shika shika...Ukiwauliza hao polisi hapo wanafanya haya kwa sheria zipi hakuna hata mmoja anayejua yanapelekwa pelekwa tu kama nyumbu na ndio maana yakistaafu yanakuwa na maisha magumu
Ulikuwa mdogo,au ulikuea hujaja duniani,ni mwaka 98 hiyo enzi za mkapaThubutuuu..🤣
Huyu si alitakiwa awe kwenye maandamano au kwenda altareni kushiriki ekaristi takatifu ndio maandamano? Ahahahahaha!!!Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
View attachment 3104662
Kanisa Katoliki Msimbazi Center liko chini ya Ulinzi Kwa masaa mengi mno.
Pengo Waambie Wanaccm wenzako waliachie Kanisa liendelee na Ibada.
Alikuwa ghetto kwa msela wake anauchezea tuuKumbe umenusurika?Au wewe hukwenda eneo la tukio? Sijui nikupe hongera au pole?
Na hasa msikiti wa kizimkaziJe misikitini hii inakubalika au niache ujuaji?
Hela za utekaji na sumu hazitakusaidia lolote, Subiri laanaEndeleaa kujidanganya Mimi ni masikin kama hao viongozi wako
Dogo bado tu unalelewa na Desderia?
Labda kama huna akili, Maandamano yapi yaliyofeli?Mara elfu mmngepiga kimya tu.
Bwn. Mwenyekiti angetoa tu tamko la kulaani na kudemand gvt itake action ila sio kwa kuanzisha mambo ambayo watu bado hawajawa tayari.
Kufeli kwa maandamano leo ni aibu kuu kwa Chadema.
Nilianzia Ilala BomaWe jamaa leo umeniponza, sijakuona magomeni
Mmeandamana kwenye nyuzi za JF tu kamanda.Labda kama huna akili, Maandamano yapi yaliyofeli?