PostGE2025 Kanisa Katoliki ST JOSEPH laita waumini wake waliopoteza ndugu Oct 29 kuwasha mishumaa madhabauni, lundo wajitokeza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Saddam Hussein alienda kwa wajerumani kuona namna gani walijenga nuclear bunkers miaka ile ya vita vya pili vya dunia na nyakati za vita baridi na akawapa tenda wamjengee pia pale nyumbani kwake na walijenga bunkers zenye kuhimili mitikisiko mikali ya mabomu kama zile za wajerumani.

Uliwahi kujiuliza licha ya huo uwekezaji wa $60M miaka hiyo ya 1990s Saddam hakuwahi kuzitumia hizo bunkers na hazikuwahi kuwa na msaada wowote kwake?

Unajua kwamba Saddam alikimbia kijijini kwenye handaki ambalo alipokurupushwa alikutwa na mkate mmoja na siagi?

Zile dhahabu, nuclea bunkers , dollars alizokomba kwenye reserve ya hazina kwa kupitia mwanae Qusay hazikua na msaaada tena?

Saddam alirudi kijiji kwao alipoua maelfu ya raia miaka kadhaa nyuma akarudi kujificha kijijini kwao akifikiri wao ndio watamficha pia asijulikane yuko hapo badala yake wao ndio walionyesha maadui zake mpaka alipo.
 
Ukweli mtupu!
 
Wakati wa ibada ya kuwakumbuka waliouawa kinyama kwenye kilichoitwa Uchaguzi wa Octoba 29 2025 iliyoadhimishwa leo kote Duniani, kanisa Katoliki Jijini Dar es salaam limetoa nafasi kwa waumini wake waliopoteza ndugu zao kusogea madhabauni na kuwasha mishumaa

Kitu cha ajabu ni Wingi wa Waumini waliojitokeza!

Hivi kuna ukoo haukupoteza mtu siku ile kweli?

View attachment 3701140View attachment 3701141View attachment 3701142

TOA MAONI YAKE
CHADEMA ni bora kuliko KANISA
 
CHADEMA imeishutum Israel na Marekani kuishambulia Iran na kumuua Ayatollah safi sana
 
Duuh
 
Umechanganyikiwa relate comment yangu na maelezo yako!
 
Wengine leo tumejitahidi kutosema kitu leo yote kuheshimu maombelezi
Haya sasa muda wa maombelezi umeisha, tunaamka
 
Wakati wa ibada ya kuwakumbuka waliouawa kinyama kwenye kilichoitwa Uchaguzi wa Octoba 29 2025 iliyoadhimishwa leo kote Duniani, kanisa Katoliki Jijini Dar es salaam limetoa nafasi kwa waumini wake waliopoteza ndugu zao kusogea madhabauni na kuwasha mishumaa

Kitu cha ajabu ni Wingi wa Waumini waliojitokeza!

Hivi kuna ukoo haukupoteza mtu siku ile kweli?

View attachment 3701140View attachment 3701141View attachment 3701142

TOA MAONI YAKE
Ukoo wa JK na Samia hawakupoteza hata mende mmoja.
 
Wakati wa ibada ya kuwakumbuka waliouawa kinyama kwenye kilichoitwa Uchaguzi wa Octoba 29 2025 iliyoadhimishwa leo kote Duniani, kanisa Katoliki Jijini Dar es salaam limetoa nafasi kwa waumini wake waliopoteza ndugu zao kusogea madhabauni na kuwasha mishumaa

Kitu cha ajabu ni Wingi wa Waumini waliojitokeza!

Hivi kuna ukoo haukupoteza mtu siku ile kweli?

View attachment 3701140View attachment 3701141View attachment 3701142

TOA MAONI YAKE
Wako wapi waliowasha mishumaa?
 
Ukweli si ndio huu unaokufanya uhangaike
Mbona nyie ndo mnaohangaika mkuu?!!!
1. Icc watawakamata, tunawaandikia barua
2. Marekani itanyima misaada, tunawaandikia barua
3. Ulaya itaitenga Tanzania
4. Bunge la Ulaya litaikaba Tanzania
5. Tutaiandikia caf iiondoe afcon Tanzania
6. Maandamano
7. Maandamano
8. Maandamano
9. Matamko ya TEC na katoliki yake
10. Tunafanya kumbukumbu ya mwaka 1

Vyote vimefeli, nani anahangaika?!!!!😜😜😜
 
Saddam Hussein alienda kwa wajerumani kuona namna gani walijenga nuclear bunkers miaka ile ya vita vya pili vya dunia na nyakati za vita baridi na akawapa tenda wamjengee pia pale nyumbani kwake na walijenga bunkers zenye kuhimili mitikisiko mikali ya mabomu kama zile za wajerumani.

Uliwahi kujiuliza licha ya huo uwekezaji wa $60M miaka hiyo ya 1990s Saddam hakuwahi kuzitumia hizo bunkers na hazikuwahi kuwa na msaada wowote kwake?

Unajua kwamba Saddam alikimbia kijijini kwenye handaki ambalo alipokurupushwa alikutwa na mkate mmoja na siagi?

Zile dhahabu, nuclea bunkers , dollars alizokomba kwenye reserve ya hazina kwa kupitia mwanae Qusay hazikua na msaaada tena?

Saddam alirudi kijiji kwao alipoua maelfu ya raia miaka kadhaa nyuma akarudi kujificha kijijini kwao akifikiri wao ndio watamficha pia asijulikane yuko hapo badala yake wao ndio walionyesha maadui zake mpaka alipo.
Ungeanza na Story ya sadamu kama kibaraka wa USA ningeona uko fair
 
Wakati wa ibada ya kuwakumbuka waliouawa kinyama kwenye kilichoitwa Uchaguzi wa Octoba 29 2025 iliyoadhimishwa leo kote Duniani, kanisa Katoliki Jijini Dar es salaam limetoa nafasi kwa waumini wake waliopoteza ndugu zao kusogea madhabauni na kuwasha mishumaa

Kitu cha ajabu ni Wingi wa Waumini waliojitokeza!

Hivi kuna ukoo haukupoteza mtu siku ile kweli?

View attachment 3701140View attachment 3701141View attachment 3701142

TOA MAONI YAKE
St Joseph's Cathedral ndiyo kanisa langu, liko katikati ya Jiji kwenye maeneo yaliyo very busy. Siku za kawaida kuna ibada 4; Saa 12 asubuhi, Saa 1 mchana, saa 7 na saa 11/12 jioni.

Kuwa na nyomi hapo ni jambo la kawaida unless wewe ni MLOKOLE, hujui RC
 
Back
Top Bottom