Wafiwa waumini watakuja kutakiwa waje na kuku mweusi kila mmoja mkononi mwake!!!!
Muhimu tupozee tu Hakuna majawabu Kanisa wala misikiti
Maisha lazima yaende yapite tugange yajayo
Hakuna namna yoyote wafu watafufuka
Tanzania tusonge mbele tu MV Bukoba ilichukuwa rohoo 1000+ lkn maisha yaliendelea sembuse watu 500+
Hakuna mshindi kupoteza Watanzania wenzetu
Hakuna mwenye furaha moyoni
muhimu kwasasa kupotezea tu mana hakuna wakusema Sababu ni yulee tu.
Kipindi cha Benjamin William Mkapa kaingia tu Madarakani ajali ya MV Bukoba ikatokea watu Buku walikufa!!
ukiacha wale wanachama wa CUF waliokuja kufa baadae !!
lkn maisha hayakusimama watu tunasonga mbele na vidonda
vyetu✍️