Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Kwani nyie mnaojiita walokole hakuna wanaokengeuka huko kwenu? Au wewe ndie unaejua tabia na mienendo ya wote mnaojiita walokole?!

Acha mihemko kwenye haya mambo.
of course, tabia ni binafsi ya mtu, kila eneo kuna wasafi na wazuri, tunachotofautiana ni misingi ya imani tu. ila ukweli usemwe, ninyi wenzetu kama kupotea mmepotea. okokeni.
 
Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.
Huenda hawajafanya uchunguzi wa kutosha.
Na hii sio haki kwa ndugu zetu albino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…