Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #21
NotedMsaidizi wa paroko ni paroko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NotedMsaidizi wa paroko ni paroko
Uzeee unanimalizaRobot la matope ulipotea sana jukwaani
Kuna kitu inaitwa kupanicParoko wa babati anasema huyo Polisi Hatasamehewa? Mbona nyie mnatufundisha tuwasamehe wanaotukosea?
Pole sana mzee ndiyo maishaUzeee unanimaliza
Na pacha wake, Mbao za MaweRobot la matope ulipotea sana jukwaani
Aloooh🤣🤣🤣🤣Paroko wa babati anasema huyo Polisi Hatasamehewa? Mbona nyie mnatufundisha tuwasamehe wanaotukosea?
Daah mbao za mawe kapotea sana kuna Robot la Matope piaNa pacha wake, Mbao za Mawe
of course, tabia ni binafsi ya mtu, kila eneo kuna wasafi na wazuri, tunachotofautiana ni misingi ya imani tu. ila ukweli usemwe, ninyi wenzetu kama kupotea mmepotea. okokeni.Kwani nyie mnaojiita walokole hakuna wanaokengeuka huko kwenu? Au wewe ndie unaejua tabia na mienendo ya wote mnaojiita walokole?!
Acha mihemko kwenye haya mambo.
Huwezi kukana wakati taarifa zote zipo wazi, kwenye kanisa kuna utaratibu ambao upo wazi na nyaraka zinaonesha na ndio maana hata ikitokea hivyo taarifa inatolewa haijawahi kufichwaWanaweza wakamkana wakasema si padri au alishaachana na upadri
Huo ushahidi unao kweli au unataka tu kuwachafue watume wa Mungukwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
huo ni mtazamo wako kipimo cha wokovu ni kipi tukianza na weweof course, tabia ni binafsi ya mtu, kila eneo kuna wasafi na wazuri, tunachotofautiana ni misingi ya imani tu. ila ukweli usemwe, ninyi wenzetu kama kupotea mmepotea. okokeni.
Dini isitutoe utu, ma padre tunajua pia kama wana watoto huku mitaani kinyume na maadili yaoNiamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Ngumu sana kuwa na Padre muuaji.Niamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Hizo taarifa hazina ukweliWanatuchanganya.
Tukubali tu hakuna Padre au Paroko wa kuweza kufanya huu ujinga.
Huenda hawajafanya uchunguzi wa kutosha.Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.