Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Ww unakomalia sasa sisi waumini tunakwambia yule sio Padri eboo
 
Hawezi kukanwa yule sio padre. Hajawahi hata kusalisha. Msikuze vitu vya kijinga
Huyo paroko msaidizi kama yupo, Si ajitokeze hadharani mwenyewe aseme kwamba yeye sio muhusika?

Mbona hajitokezi hadharani kukana haya mashtaka anayozushiwa?

Which means, Yeye ndio muhusika mwenyewe ila wapumbavu kama ninyi ndio mnahangaika kumtetea na kujaribu kuficha ficha uovu wake.
 
Tangu zianze kesi za ulawiti kwa watoto wadogo hili kanisa sina imani nalo kabisaa

Halafu mauaji ya albino yalianza tangu enzi maana tangu zamani inasemekana albino hawafi wanapotea tu ndo kufa kwao@! Unaweza kuta viungo vyao ndo vilitumika madhabahuni, machimboni nk
 
Umeisoma vizuri hiyo sms ya pili na kuielewa au nawe unakurupuka tu?

Na mleta mada nae anataka kulazimisha iwe vile atakavyo wakati sms ya pili inajieleza vizuri tu, "mraibu aliyechukuliwa na paroko ili asaidiwe"
Hiyo meseji sio official statement ya kanisa, father kafanya kufowadi tu
 
Miaka 30 ilopita mwanamuziki mzaliwa wa Dublin Ireland aliichana picha ya PAPA FRANCIS hadharani ukumbini na akawaambia "Fight the real energy" shida kubwa ilikuwa analalamikia vijana wengi wa kiume huko nchini kwake Ireland walikuwa mashoga na uongezaji wao ulikuwa wa kutisha na ilibainika Kuwa wote wamesoma seminary hivyo walikuwa wanatatuliwa marinda na maparoko, na blooder n.k angali wakiwa umri wa kindergarten na hii ni kutokana na mahojiano ya wachunguzi na mashoga husika wengine waliambiwa na maparoko wabokoaji kwamba kubokolewa is the best way of life (imagine mtoto ana 6 yrs anabokolewa na lijitu lina 50yrs halafu linamwambia huo ushenzi).

Ikumbukwe kwa nchi za ulaya jamuhuri ya Ireland ndiko ROMA CATHOLIC imetamalaki kuliko Italy, pamoja na malalamiko hayo na taarifa za uchunguzi BABA MTAKATI WA WAKATI HUO PAPA FRANCIS hakuchukua hatua zozote ndipo huyu mwanamuziki alipoonesha hisia zake miezi kadhaa baadae ndipo Vatican ikachukua hatua ya kuanza kulipa fidia kwa waathiriwa waliojitokeza.

Hivi ni taarifa kwa wafia dini mnaoamini maparoko wenu ni watakatifu na kwamba wakiguswa na kashfa mnadhani wanadhalilishwa badala ya kuangalia ukweli wa mambo na ninakutakia ubishi mwema lakini nakutahadharisha kupeleka watoto wa wadogo wa kiume seminary maana utashangaa mwanao kasoma vizuri yupo Bank fulani anatafuta mume wa kumuoa.
 
Niamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Usisahau nao ni binadamu kama tulivyo sisi maana wao siyo malaika.

Kama unavyojiona wewe smart na utashi mwema wewe huyo huyo kesho unaweza ukafanya kitu cha kustaajabisha kama hicho so kuwa padre hakumuondolei sifa hii ya ubinadamu,mimi bado nitasimama na report ya polisi mpaka itakaposemwa vingine.
 
Kama sio paroko mnalazimisha ili iweje?? Na kama ni paroko mnakataa ili iweje...
Kama yuda mwanafunzi wa Yesu aliekula nae na kukaa nae pembeni alimuuza Yesu ndo ije kuwa Paroko ambae ana mwili wa nyama na damu kama Yuda na ambae yupo katika ulimwengu uliokengeuka kama huu wa sasa...
 
Hata yuda alikua na mwili wa nyama na damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…