ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kuwa na watoto inawezekana lkn sio kuuwa. Sijui unaelewa tofauti ya hivyo vitu viwiliDini isitutoe utu, ma padre tunajua pia kama wana watoto huku mitaani kinyume na maadili yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na watoto inawezekana lkn sio kuuwa. Sijui unaelewa tofauti ya hivyo vitu viwiliDini isitutoe utu, ma padre tunajua pia kama wana watoto huku mitaani kinyume na maadili yao
Unafiki wa kidiniParoko wa babati anasema huyo Polisi Hatasamehewa? Mbona nyie mnatufundisha tuwasamehe wanaotukosea?
Ww unakomalia sasa sisi waumini tunakwambia yule sio Padri ebooHuyo ni padre
Jina lake limo kwenye
List ya mapadre Kagera msifiche dhambi jina lake limo list hii hapa
Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
Una akili kisoda hiyo message kaandika yeye kwanParoko wa babati anasema huyo Polisi Hatasamehewa? Mbona nyie mnatufundisha tuwasamehe wanaotukosea?
Tena nyie walokole ndio wachafu kunukakwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Huyo paroko msaidizi kama yupo, Si ajitokeze hadharani mwenyewe aseme kwamba yeye sio muhusika?Hawezi kukanwa yule sio padre. Hajawahi hata kusalisha. Msikuze vitu vya kijinga
Leta uthibitisho hapa kwamba sio padri.Ww unakomalia sasa sisi waumini tunakwambia yule sio Padri eboo
Kuokoka ni Neema Ndugu...!kwani ni mara ngapi mapadri wanaonekana kwa waganga wa kienyeji? mapadri wangapi hawana hirizi? okokeni ninyi wakatoliki.
Mimi nipo siku zote sema umri umeendaDuh! Roboti umefufuka? Mihemko ya Polisi na kukosa weledi.
Hiyo meseji sio official statement ya kanisa, father kafanya kufowadi tuUmeisoma vizuri hiyo sms ya pili na kuielewa au nawe unakurupuka tu?
Na mleta mada nae anataka kulazimisha iwe vile atakavyo wakati sms ya pili inajieleza vizuri tu, "mraibu aliyechukuliwa na paroko ili asaidiwe"
Na wale walimu wa madarasa na yule shehe nao vp?Yulepadre aliyefungwa kwa kubaka moshi nae awekwe fungu gani? labda wamkane tu yawezekana yeye ndo kasema ni paroko msaidizi wa pale
Miaka 30 ilopita mwanamuziki mzaliwa wa Dublin Ireland aliichana picha ya PAPA FRANCIS hadharani ukumbini na akawaambia "Fight the real energy" shida kubwa ilikuwa analalamikia vijana wengi wa kiume huko nchini kwake Ireland walikuwa mashoga na uongezaji wao ulikuwa wa kutisha na ilibainika Kuwa wote wamesoma seminary hivyo walikuwa wanatatuliwa marinda na maparoko, na blooder n.k angali wakiwa umri wa kindergarten na hii ni kutokana na mahojiano ya wachunguzi na mashoga husika wengine waliambiwa na maparoko wabokoaji kwamba kubokolewa is the best way of life (imagine mtoto ana 6 yrs anabokolewa na lijitu lina 50yrs halafu linamwambia huo ushenzi).Kwanini unafurahia sana ukisika habari hadi kuhusu wakatoliki?
Mbona ukristu hautufundishi hivyo?
Apollo, Petro na Paulo walikuwa na njia tofauti za kuhubiri injili ila waliheshimiana, kwanini nyie walokole hamuheshimu huu utofauti ikiwa Kristu anayehubiriw ni yule yule? Je huo ulokole una usafi sana kiasi hicho?
Nazidi kusisitiza aheri ya waislamu kuliko walokole
Usisahau nao ni binadamu kama tulivyo sisi maana wao siyo malaika.Niamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Hata yuda alikua na mwili wa nyama na damuKama sio paroko mnalazimisha ili iweje?? Na kama ni paroko mnakataa ili iweje...
Kama yuda mwanafunzi wa Yesu aliekula nae na kukaa nae pembeni alimuuza Yesu ndo ije kuwa Paroko ambae ana mwili wa nyama na damu kama Yuda na aliyekatika ulimwengu uliokengeuka kama huu wa sasa...
Wapo sna tu washenzi SanaNiamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Ndio kwani hujaelewa nilivyoandika...au nimesema alikua na mwili wa senene...Hata yuda alikua na mwili wa nyama na damu
Ulichoandika ni kana kwamba yuda alikua Kama yesuNdio kwani hujaelewa nilivyoandika...au nimesema alikua na mwili wa senene...