Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Nimekuuliza huko kwengine unaamini ni kusafi?

Na je unapendekeza nini kwa wakatoliki wauawe au?
 
Nimekuuliza huko kwengine unaamini ni kusafi?

Na je unapendekeza nini kwa wakatoliki wauawe au?
Hakuna aliye msafi ni Mungu Tu na Yesu wake

sasa hata malaika mbinguni walikuwa karibu na Mungu wakiishi naye wakaasi sembuse paroko aliye karibu na Askofu binadamu mwenzie Askofu mnywa konyagi au K Vant

Tinachokataa ni kanisa katoliki kujifanya takatifu na kuwa mapadri na maparoko ni watakatifu kuwa hawawezi kosea na kuanza utetezi WA nguvu kupinga kuwa huyo sio padre wakati ni padre

Wangekubali kuwa padre wangeumwa malarial? Wakati ni padre kweli na hajawahi achishwa upadre
 
Msaidizi wa paroko ni paroko
Msaidizi wa msaidizi wa paroko ni msaidizi.
Msaidizi wa Askofu angemchinja zeruzeru( watu wanapenda majina mazuri,walipokuqa wanaitwa ' zeruzeru' hakuna mtu aliyewasumbua),
we ungesema,"Oh,tulijua toka zamani kwamba Gwajima ni feki."
 
Kama sio padre kwanini wakubali kuwa ni Padre
 
Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.
Yaaani Huyo Polisi apambane kumbaini mhalifu mpaka kafanikiwa kuwakamata tena Wakiwa Na viungo, badala aendelee kukomaa apate ushahidi wa kutosha juu ya Uhusika wa watuhumiwa hao Na MAUAJI ya Mtoto wetu Asimwe aanze kuwa busy eti ni Padre Au sio Padre huu ni utahira!!

Kwasisi tuliowahi kufikishwa Polisi Au court lazma Uhojiwe KAZI YAKO, Umri, unakoishi nk
Sio JUKUMU lao kuthibitisha hizo particulars zako Kama hazihusiani Na kosa Mama.

TUKUBALIANE TU MWANETU AWE PADRE ASIWE PADRE KAYAKANYAGAAAA
 
mliona raha kuita kila gaidi shekhe kisa alikua msilamu vipi sasa kwa paroko

jeshi la polisi lisonge mbele na uchunguzi mengine yatajulikana
 

mwamba huyo hapo wakuitwa
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
 
Halafu ishu sio jamaa ni Paroko au sio Paroko kwasababu yeye ni binadamu na siku zote binadamu hajakamilika kwahiyo ishu ya kuwa Paroko au sio Paroko HAINA MASHIKO. Waliasi Malaika Mbinguni sembuse Binadamu bhana
 
Kiongozi wa dini anafanya huu upuuzi, anatakiwa kuongezewa adhabu.
Iwe funzo kwa viongozi wa dini.
Washirikina wamevamia Kanisa bila kujulikana.
Nadhani Wakatoriki wameacha ile Vetting yao ya zamani, sasa hivi wanazoa zoa tu watu wa kufanya kazi za kitume.
Padre anafantaje huu upuuzi,, 😭
Anakula, anavaa, anasafirishwa, analala bure kabisa , kwa jasho la waumini hao hao anaowatoa kafara.
Kanisa lazima litoke kutoa tamko la hili tukio.
 
Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.
Na ndio hawa tunao waamini eti wapeleleze makosa ya watu hawa wahuni kabisa
 
Kama mpaka sasa hakuna taarifa kutoka Polisi au Kanisa kukanusha basi inawezekana huyo Padre kahusika! Kanisa kutotoa taarifa yoyote ni weakness kubwa. Hizi habari zimetrend kwenye social media na zimelitia aibu Kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…