Unaondolewaje?? Huyo kauwa.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaondolewaje?? Huyo kauwa.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Nimekuuliza huko kwengine unaamini ni kusafi?Wanaosema kuna ubaya katoliki wengi humu sio madhehebu mengine ni wakatoliki wenyewe wakilalamika kuanzia michango kuwa mingine kuanzia ya jumuiya,tegemeza Jimbo NK na kugomewa kupewa huduma za kanisa ukiwa hutoi nk
Huko hawasalii madhehebu mengine unawaonea hao wengineo
Hakuna aliye msafi ni Mungu Tu na Yesu wakeNimekuuliza huko kwengine unaamini ni kusafi?
Na je unapendekeza nini kwa wakatoliki wauawe au?
Msaidizi wa msaidizi wa paroko ni msaidizi.Msaidizi wa paroko ni paroko
Kama sio padre kwanini wakubali kuwa ni PadreHakuna aliye msafi ni Mungu Tu na Yesu wake
sasa hata malaika mbinguni walikuwa karibu na Mungu wakiishi naye wakaasi sembuse paroko aliye karibu na Askofu binadamu mwenzie Askofu mnywa konyagi au K Vant
Tinachokataa ni kanisa katoliki kujifanya takatifu na kuwa mapadri na maparoko ni watakatifu kuwa hawawezi kosea na kuanza utetezi WA nguvu kupinga kuwa huyo sio padre wakati ni padre
Wangekubali kuwa padre wangeumwa malarial? Wakati ni padre kweli na hajawahi achishwa upadre
Taarifa rasmi ni za geshi retu ra porisi. Rire ni ri paroko.Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Yaaani Huyo Polisi apambane kumbaini mhalifu mpaka kafanikiwa kuwakamata tena Wakiwa Na viungo, badala aendelee kukomaa apate ushahidi wa kutosha juu ya Uhusika wa watuhumiwa hao Na MAUAJI ya Mtoto wetu Asimwe aanze kuwa busy eti ni Padre Au sio Padre huu ni utahira!!Huyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.
Tamko la kanisa lipo wapi?Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi.
Which is which??
Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Wakane na picha
Kiongozi wa dini anafanya huu upuuzi, anatakiwa kuongezewa adhabu.Huyo ni padre
Jina lake limo kwenye
List ya mapadre Kagera msifiche dhambi jina lake limo list hii hapa
Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
Ha, ha..Taarifa rasmi ni za geshi retu ra porisi. Rire ni ri paroko.
Na ndio hawa tunao waamini eti wapeleleze makosa ya watu hawa wahuni kabisaHuyo msemaji wa polisi anapaswa kuwajibishwa kwa kuleta taharuki kwa kanisa katoliki.hakupaswa kuongea kwenye public bila kufanya uchunguzi wa kina .katudhalilisha sana waumini wa kanisa katoliki.
Moyo wa mtu ni kichakaNiamini mimi hatuna mapadre washenzi washenzi
Kwani Kanisa ndiyo limeua???Tamko la kanisa lipo wapi?
KanisaniTamko la kanisa lipo wapi?