Kanisa katoliki vatican yaanza uchuguzi baada ya 'sisters' wawili kupata ujauzito baada ya kuitembelea Africa.

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Kanisa katoliki limeanza uchunguzi kubaini chanzo na sababu za masista wake wawili kupata ujauzito baada ya kutembelea Africa ambap walikuja kwa kazi ya kimisionari.
 
sasa kama wenyewe wameamua kutoa papa shida nn,,,,
 
Chanzo cha habari: New York Post 🤔🤔
 
Sipati picha hii ishu ingelitokea upande wa2, hayo matusi yatakayoporomoshwa [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…