Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaniacha hoi anaposema hana chenjiHana tofauti na wale wanauza udongo, maji, vitambaa n.k. kote ni biashara tu. Tofauti ni jinsi wanavyoifanya biashara yenyewe
Kwanini asifurahi wakati pesa anaionaHalafu jamaa linacheka
Jamaa tapeli kabisa na anawachekaKaniacha hoi anaposema hana chenji
Kuna siku ana watukana kabisa na wanachekaJamaa tapeli kabisa na anawacheka
Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate?Jamaa tapeli kabisa na anawacheka
Acha kabisa tena anataka cash ukienda na pesa kubwa ana sema hana chenjiBiashara ikienda vizuri ataweka na bango kabisa nje ya Kanisa,
Church Bakery.
Na mafutaTapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate?
Si bora huyu anauza mikate kuliko wanaowauzia wenzao Udongo.
Ngoja nikanunue vitunguu...Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
Sizani kama anavyoNgoja nikanunue vitunguu...
..Ni Hayo Tu!
Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mieTapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate?
Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo.
Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie
Ahahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadakaIla udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie
Uja mfwatilia vizuri huyu ni comedy ibada ni kunanga watuYuko sawa kama ni charity na hela zote zinazopatikana zinakwenda kusaidia wenye uhitaji mf. mayatima. Kama hela ni zake ni wazi atakuwa amekengeuka.
Kwa sasa sitamhukumu maana inaweza kuwa ni charity kanisa limeamua kufanya.
Na asubuhi yake niliona kabisa tipa likishusha udongo pale uwanjani ☹️☹️Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁
Mia bili kwa mkate, mandazi ni mia. Na hakuna chenjiAhahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadaka