Itabidi ibada tufanyie majumbani kwetu wachungaji asilimia kubwa wameshakengeukaWakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya