Kanisa kenya limegeuka soko

Kanisa kenya limegeuka soko

Ndio ana Akili. Sasa watu wazima na akili zao wanakubali kuuziwa vitu kanisani na wametulia tuli, maana yake si Kawazidi akili?💁
Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
 
KWA FAIDA ILA SIYO LAZIMA SOMA MWANZO MPAKA CHINI.🙏
Screenshot_20241231_153127_Biblia na Sauti.jpg
 
Kama Mtazamaji kutoka Pembeni naweza kukuuliza si bora hapo ni quid pro quo ya hapo hapo (Nipe Nikupe); Ipi bora hii au ile ya kutoa ili nikupe baadae (au nikuombee kama vile yule anayeombwa ni kiziwi na hasikii sauti nyingine bali ya mwombaji na anaombea watu tu akipewa ya Kaisari)...,
Yesu alikataza kufanya biashara hekaluni na alizimwaga bidhaa chini leo hii wachungaji wamegeuza makanisa kuwa sehemu za kupata utajiri, pepo la utajiri limewapagaa wengi wao
 
Kwa haya maisha ukipata nafasi ya kuwateka watu akili na kutengeneza fedha fanya hivyo.
 
Yesu alikataza kufanya biashara hekaluni na alizimwaga bidhaa chini leo hii wachungaji wamegeuza makanisa kuwa sehemu za kupata utajiri, pepo la utajiri limewapagaa wengi wao
Na hao ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia nini ? Nina uhakika ukiamua hakuna jambo ambalo katika Bible utakosa loophole ya kujitetea.., after all kumwaga bidhaa za watu ilikuwa so unChrist like, they guy who was always supposed to turn the other cheek;

Pia kama kuna maagano tofauti yaani la Kale.., Mara Jipya latest kuliko la Kale na vitu tofauti unasemaje hao jamaa wakikwambia kwamba kuna Agano tofauti wamepewa (kama kuna mtu aliweza kuambiwa / kuwa tested kwa kumtoa mwanae Kafara ingawa kuna Amri inasema usiue)

All in all kwenye mambo ya Imani kusema mwenzako anakosea iwapo wanaokwenda hawalazimishwi wala kuleta madhara kwa mtu baki.., basi sio ustaarabu kuanza kuhumu...
 
Back
Top Bottom