Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

πŸ˜…πŸ˜…We jamaa hata kingereza hujui ebu soma hapo juuu
 
Hakuna muislam anayeogopa kuvaa nguo za stara kisa vita.
Waarabu tunawajua zao kanzu na mabaibui.hao wakristo wenzenu .
Ukisoma pale utaona πŸ˜…ni orthodox wapo lwney ibada yao.

Huyo jamaa kumbe humjui basi tambua analeta porojo ili mradi tu anatafuta habari mbaya za waislamu hata akisikia kuja kesi ya mtaani analeta πŸ˜…πŸ˜…
 
Usipotembea duniani na ukaishia tu humu jf utalishwa matango pori mpaka watu watakushangaa. Nimewahi kufika lindi maeneo ya kilwa na lindi vijijini yote kwa ujumla, huko wakristo hawazidi % mbili lakini wana8shi vizuri tu hakuna mtu yeyote anayewanyanyasa......hilo limeenda hivyo miaka na miaka. Tuache uongo
 
Ukisoma pale utaona πŸ˜…ni orthodox wapo lwney ibada yao.

Huyo jamaa kumbe humjui basi tambua analeta porojo ili mradi tu anatafuta habari mbaya za waislamu hata akisikia kuja kesi ya mtaani analeta πŸ˜…πŸ˜…
Unaona kabisa watu wamekula suti
 
Kwamba bora kufa kuliko kuingia Kanisani kwa sababu wewe ni muislam?
Unaona hizo suti?ebu tulia angalia hizo picha.alafu nioneshe muislam yupo wapi ?picha zinaonesha kabisa watu wapo kanisani wanaendelea na ibada yeye anasema wapo kwenye hifadhi.kwenye hifadhi ungewaona wamesimama?hata watoto hawapo.aache uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…