Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Dini ya kweli ya Mungu yapaswa kua na matendo ya upendo na ukarimu kwa wengine. Sasa dini ya fulani ya munyazi mungu nyie ati ukiua asio wa dini yako wewe ndio unastahili dhawabu, dini imejaa magaidi na mafundisho ya ukatili na vurugu
 
Hilo ni kanisa limepokea waislamu, mnapaswa mjifunze kitu hapo, kwamba inawezekana binadamu wakaishi bila kujilipua mabomu eti ndio mbinu pekee za kumuabudu Mungu.
Huko kapedo, trans mara na pokot wanapoua raia kila siku ni waislam? Deal na matatizo yenu Kenya sio kujikomba kwa nchi ambayo inaona wakristo kama manyani tu.
 
Nje ya Imani ya Kristo Yesu, hakuna Upendo. Utakuwa Upendo wa muda mchache au Upendo wa Masharti fulani.

Luka 6:27 Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,
28 wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

Hili Andiko unalipata katika fundisho la Yesu tu.
Huko kwengine Upendo una masharti maalum.
Mfano, lazima uwe wa dini yangu.
 
Ata Hamas waliambiwa na Viongozi wao wasije wakapiga, Makanisa, Misikiti wala Mahekalu ya wayahudi! uo ugomvi sio wa Dini na usije ukahisi ata sikumoja kuwa Netanyau anauliza we mkristo au muislamu! Kitendo cha kuwa we ni mpalestina umeisha kwa Netanyau
 
Kwa akili zenu zilizofinyu mnajua gaza wapo waislamu tupu hamjui wanaokufa ni christians na muslims na hao israel mnayo ishabikia hawamtambui huyo yesu wala christians kule wanaishi maisha ya kubaguliwa kama wanavyobaguliwa muslims
 
Huko kapedo, trans mara na pokot wanapoua raia kila siku ni waislam? Deal na matatizo yenu Kenya sio kujikomba kwa nchi ambayo inaona wakristo kama manyani tu.

Wale wanapigana kwa kunyang'anya mifugo, kitu ambacho kipo kina mantiki, hawana huo ujinga wenu wa kuua watu kwa misingi ya kidini.....unaua mtu kisa mungu ambaye hauwezi ukadhihirisha kwa yeyote kuwa kweli yupo, sijui mpoje mijitu ya kutupwa mbali.
 
Ndio nasema deal na matatizo yenu ya Kapedo huko kabla hujaleta ujuaji kwa watu wanaokuona nyani tu. Kazi kujikomba tu kwa ngozi nyeupe wakati ndugu zako wanataabika huko Mathare na Kibra.
 
Kwa akili zenu zilizofinyu mnajua gaza wapo waislamu tupu hamjui wanaokufa ni christians na muslims na hao israel mnayo ishabikia hawamtambui huyo yesu wala christians kule wanaishi maisha ya kubaguliwa kama wanavyobaguliwa muslims

Tunajua kuna Wakrsito pia ila kuishi na nyie watu kunahitaji uvumilivu sana, mnapigana na kila dini na kila mtu na inasababisha muawe sana, hata Mchina na Budh yake mnamzingua, Mhindi pia kote kote mnaanzisha ugomvi mnaishia kupigwa.
 
Ndio nasema deal na matatizo yenu ya Kapedo huko kabla hujaleta ujuaji kwa watu wanaokuona nyani tu. Kazi kujikomba tu kwa ngozi nyeupe wakati ndugu zako wanataabika huko Mathare na Kibra.

Kila nchi ina matatizo yake inapambana nayo lakini haya ya uzombi wenu ni hatari kwa dunia hivyo lazima mchezee kichapo cha wababe wa dunia....
 
Kila nchi ina matatizo yake inapambana nayo lakini haya ya uzombi wenu ni hatari kwa dunia hivyo lazima mchezee kichapo cha wababe wa dunia....
Wezi wa mifugo tu wamewashinda ila kazi kushabikia vita za wenzenu. Man up, huko Palestine kuna wakristo same to Israel 30% ni waislam. Cha ajabu akili zako zinadhani Israel wakilipua Gaza hakuna wakristo?? Au unadhani Hamas wakilipua Israel hawauwi waislam wenzao?

Kwanini unakaa kwenye angle ya dini? Toka huko I'm not even a Muslim lakini just being Palestine sympathiser automatically unaniona Muslim.

African brainwashed mindset
 
Huko kapedo, trans mara na pokot wanapoua raia kila siku ni waislam? Deal na matatizo yenu Kenya sio kujikomba kwa nchi ambayo inaona wakristo kama manyani tu.
Huyo jamaa ni mjinga wa kikenya,alishupalia vita ya ukraine na russia now yuko na vita ya israel na palestina,mvivu wa kutumia akili huyu kilaza
 
Wala sioni ajabu kabisa kwa hili ingawa chuki ipo ila huu ni ubinadamu tu
Hata Simba anaweza kuelemewa akaja kibani kwao kuomba hifadhi hii imetokea

Mmesahau ya Kimbari au mlikuwa hamsomi na kusikia kuwa wakati wa vita wakristo wengi walikimbilia makanisani na wakachomwa humo humo ila walipata hofadhi misikitini hawakuuwawa kabisa

Ila kuna watu wana roho mbaya walichoma kanisa na mamia ya watu wakiwemo
Africa balaa
 
Kwa akili zenu zilizofinyu mnajua gaza wapo waislamu tupu hamjui wanaokufa ni christians na muslims na hao israel mnayo ishabikia hawamtambui huyo yesu wala christians kule wanaishi maisha ya kubaguliwa kama wanavyobaguliwa muslims
Israel adhana inapigwa kama kawaida na kuna misikiti mingi tu,halafu jewish nguruwe ni haram kama islam,ijumaa israel kazi mwisho saa 6 mchana kupishana waislam kuswali swala ya ijumaa,jumamosi ni sabath hapo jewish ndio siku yao kuu ya ibada na kupumzika,jumapili wao ndio wanaanza weekday,upande wa palestina kuna wakristo wanaopambania nchi yao na upande wa israel kuna waislam wanaoipambania nchi yao,ukiona mtu anaidiscus hii vita kidini huyo ni tahira
 
Wezi wa mifugo wanaiba n akujinufaisha, ina mantiki, lakini nyie mazombi mnaua watu kisa mungu ambaye mliletewa na muarabu, mungu ambaye hata hamumjui, hamna namna ya kudhihirisha uwepo wake, unaua mwafrika mwenzako kwa ujinga, yaani sijui mko vipi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…