Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

Sio wale ulioleta jamaa kwa propaganda zako huwezi kuangusha Uislamu 😅😅

Hakuna mtu huwa na nia ya kuangusha uislamu, hayo ni maamuzi yenu ya kiimani katika kumuabudu huyo muarabu, na kila dini ina uhuru wake wa chochote wanataka kuabudu, sasa tatizo lenu huja pale mnataka kulazimisha ugomvi na kila dini mnaishia kupigwa kisha mnalia lia kwamba uislamu unaonewa.
Hamuna uvumilivu, yaani majitu kabisa yanaandamana kupinga kanisa kujengwa.....

View: https://youtu.be/pcwvILodCKM
 
Nyie matapeli na makanisa yenu kule kenya mliua watu na mwamposa kule Kilimanjaro aliua watu ...Na eneo lilikuwa na mgogoro mbona hata Arusha stendi haijengwi kwa vile eneo lina mgogoro.
 
Nyie matapeli na makanisa yenu kule kenya mliua watu na mwamposa kule Kilimanjaro aliua watu ...Na eneo lilikuwa na mgogoro mbona hata Arusha stendi haijengwi kwa vile eneo lina mgogoro.

Hakuna aliyeua hao watu, wenyewe walijituma kwenye ujinga wao kufia huko kwa kukanyagana, ila nyie mnateka basi la abiria na kuanza kuuliza kila abiria ajibu hizo pumba za kiarabu kwenye mambo yenu, kila aliyeshindwa mkamchinja kwa kukata kichwa.........
Hiki kisa kilifanya niwaone wa hovyo sana Bus passengers massacred
 
😅😅😅Kwa hiyo nyie ni wajinga!? je mauaji yanayofanywa na kanisa katoliki kama kule America.

Mbona huleti habari za ujinga wenu.
 
😅😅😅Kwa hiyo nyie ni wajinga!? je mauaji yanayofanywa na kanisa katoliki kama kule America.

Mbona huleti habari za ujinga wenu.

Yeah mtu yeyote asiyetumia hekima kwenye masuala ya dini ni mjinga, hata Mkristo kwa hivyo sio issue hiyo.
Lakini nyie yenu ni hatari sana mnalazimisha ugomvi na kila dini, mnaua watu kisa mliagizwa na 'mungu' wenu muarabu.
Jana mumechinja watalii Uganda, yaani sijui huyo muarabu wenu lini atatosheka damu ya watu ADF rebels kill two foreign tourists, Ugandan in Queen Elizabeth park
 
Swali mbona matatizo ya wakristo huleta kweny content zako na haujawahi kuleta.

Kwa nn kila siku unahukumu waislamu😅?
 
Swali mbona matatizo ya wakristo huleta kweny content zako na haujawahi kuleta.

Kwa nn kila siku unahukumu waislamu😅?

Kila dini ina matatizo yake na inapambana kivyake, ila nyie ndio hulazimisha ugomvi na dini zingine, mngekua mnapambana na mambo yenu ndani kwa ndani bila kuchinja wasiohusiana na dini yenu wala usingesikia mtu anawahoji.
 
Wengi wamehojiwa na kusema kwa walivyopokewa yaani hawajaona upendo kama huo kwa muda mrefu.
Hongereni sana Wakristo kwenye hilo kanisa, waonyesheni inawezekana kuishi na watu bila kuwachinja kwa jina Mungu, na kwamba dini inapaswa kuwa kitovu cha amani na utulivu.....
=========================

The Church of Saint Porphyrius has become a sanctuary for those displaced by Israeli bombing, across all faiths.

Orthodox Christians celebrate Christmas with divine service at the Church of Saint Porphyrius in Gaza City

Orthodox Christians celebrate Christmas at the Church of Saint Porphyrius in Gaza City, Gaza on January 6, 2023 [Mustafa Hassona/Anadolu Agency via Getty Images]

Gaza City – When an Israeli air raid destroyed Walaa Sobeh’s house and much of her neighbourhood, the Palestinian Muslim sought shelter in Gaza’s oldest church.

At the Church of Saint Porphyrius, she found not just sanctuary, but a feeling of belonging to “one family” — united by both the terror of bombs exploding around them and a hope that they could survive Israel’s attacks.
So she telephoned other relatives in north Gaza and asked them to make their way to the church, too. Sobeh and her family are among hundreds of Palestinians across different faiths who have found safety — at least for now — at the church.

At a time when the deadly Hamas attack on Israel on October 7 and Israel’s subsequent bombardment of Gaza have sparked a surge in Islamophobia in parts of the world, the Greek Orthodox church has emerged as an emblem of a deeper identity as Palestinians.

“We are here living the day, not sure if we can make it to the night. But what eases our pain is the humble and warm spirit of everyone around,” Sobeh said. She described receiving “enormous support from the priests and other people in the church who volunteer tirelessly around the clock to help the displaced families”.

So far, the church has escaped Israeli missiles.
“The Israeli military has bombed many places of sanctuary,” said Father Elias, a priest at Saint Porphyrius, adding that he was “not sure that Israel won’t bomb the church”, even though it provides shelter for hundreds of civilians.

Israeli bombs have hit several mosques and schools sheltering people whose homes have been blown up.

Any strike on the church “would not only be an attack on religion, which is a vile deed, but also an attack on humanity”, Father Elias said. “Our humanity calls us to offer peace and warmth to everyone in need.”

Palestinian Orthodox Christians attend the Christmas Mass at St. Porphyrius Church in Gaza City
Palestinian Orthodox Christians attend Christmas mass at the Church of Saint Porphyrius in Gaza City on January 7, 2023 [Mohammed Saber/EPA]

Kanisa liwe makini awashindwi kulipwa kwa bomu, maana wapalestina bwana wanapenda sana ayo mambo yakulipuana
 
Kila dini ina matatizo yake na inapambana kivyake, ila nyie ndio hulazimisha ugomvi na dini zingine, mngekua mnapambana na mambo yenu ndani kwa ndani bila kuchinja wasiohusiana na dini yenu wala usingesikia mtu anawahoji.
Wapi tunalazimisha ? Mbona huleti wa kwenu kama sio unafiki😅😅.

Yaani kijana hauna kipya zaidi ya kufautilia waislamu kama sio umbea .
 
Kanisa liwe makini awashindwi kulipwa kwa bomu, maana wapalestina bwana wanapenda sana ayo mambo yakulipuana

Kimsingi ni kuhakikisha kila anayeingia humo anakaguliwa haswa, halafu wanaume watengwe kila mmoja akae mwenyewe, yaani sijui kifanyike nini kuhakikisha hawaingiwi na mzuka wa hiyo dini yao.
 
Wapi tunalazimisha ? Mbona huleti wa kwenu kama sio unafiki😅😅.

Yaani kijana hauna kipya zaidi ya kufautilia waislamu kama sio umbea .

Nimekuambia ya kwetu ni changamoto za kawaida kama ambazo zipo kwenye dini zingine, ila kwenu kila siku naleta taarifa humu mnavyochinja na kulazimisha watu wasiotaka kumuabudu huyo muarabu.
 
Nimekuambia ya kwetu ni changamoto za kawaida kama ambazo zipo kwenye dini zingine, ila kwenu kila siku naleta taarifa humu mnavyochinja na kulazimisha watu wasiotaka kumuabudu huyo muarabu.
Hakuna sehemu mtu kalazimishwa yaani nyie mkikaa uchi mkiambiwa mnasema mnalazimishwa kule Qatar mlikatazwa ushoga mnadai ni msimamo mkali.

Yule mchungaji wa kenya aliyeua watu zaidi ya 100 😅😅
 
Kimsingi ni kuhakikisha kila anayeingia humo anakaguliwa haswa, halafu wanaume watengwe kila mmoja akae mwenyewe, yaani sijui kifanyike nini kuhakikisha hawaingiwi na mzuka wa hiyo dini yao.
Sio dini mimi naisi ni hivyo tu walivyo ndo maana waliona jangwa ndo sehemu sahihi kuwa kwao
 
Hakuna sehemu mtu kalazimishwa yaani nyie mkikaa uchi mkiambiwa mnasema mnalazimishwa kule Qatar mlikatazwa ushoga mnadai ni msimamo mkali.

Yule mchungaji wa kenya aliyeua watu zaidi ya 100 😅😅

Huna ruhusa ya kumchinja mtu kisa amevaa mavazi yake, kwa mfano hao mliowachinja kwenye hili basi Kenya wakati mlikua mnawahoji hizo pumba zenu za kiarabu walikua wamewakosea nini Bus passengers massacred
 
Hakuna ruhusu ya kuchinja basi hapa Tz mikoa yenye waislamu pangekuwa na mauaji sana ... Tatizo huna elimu juu ya uislamu unafuata mkumbo kama yule Max shimba ministries
 
Hakuna ruhusu ya kuchinja basi hapa Tz mikoa yenye waislamu pangekuwa na mauaji sana ... Tatizo huna elimu juu ya uislamu unafuata mkumbo kama yule Max shimba ministries

Hao huko ni kwa sababu hawafuati maagizo ya 'mungu' wenu muarabu aliyeagiza mchinje kila asiyemuabudu, nyie majitu huwa hamna uzalendo wala nini, popote mnanyea tu, kuanzia huko Kibiti mpaka Msumbiji, nakumbuka hili tukio Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
 
Usipotembea duniani na ukaishia tu humu jf utalishwa matango pori mpaka watu watakushangaa. Nimewahi kufika lindi maeneo ya kilwa na lindi vijijini yote kwa ujumla, huko wakristo hawazidi % mbili lakini wana8shi vizuri tu hakuna mtu yeyote anayewanyanyasa......hilo limeenda hivyo miaka na miaka. Tuache uongo
Acha uongo kwa Tanzania hasa ukiondoa visiwani Zanzibar ....asilimia kubwa ya watu ukristu au uislamu jina ...wengi wanaabudu dini zao.za asili...ukristo na uislamu ni.kama utambulisho tu. so hakuna kwenye uchungu na dini Kihivyo hadi ambague mtu. ukiona hivyo ujue imetengenezwa
 
Back
Top Bottom