Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Hao sio Wamatumbi wenzako kwamba wakivaa Hijabu ndio Waislam...Acha kudanganywa hakuna waislam hapo.wanawake hawajavaa hijab utasemaje ni waislam?
Umezoea huku Mmatumbi akiswali anasugua kichwa kwenye jamvi ili singda ionekane, nioneshe Muarabu mwenye singda...