The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Albert Chalamila yeye anasema Makanisa yafungwe amekubuhu kwerikweriKazi ya Bwana .....milele amina
Haiwezi kuwa temporary mzeeProject inaanza lini ..?
Na je ujenzi ni Gothic au ni hizi temporary za kileo??
Whatever the case kanisa litajengwaHela za ujenzi zipo au ndio kila muumini mbatizwa kuanza kuchangia?
Naam litajengwa ila kwa lawama na malalamiko mengi.Whatever the case kanisa litajengwa
Ni Gothic architecture?Haiwezi kuwa temporary mzee
Huyo amechanganyikiwa...alipokuwa jobless alikimbilia kanisani kupata tumaini la maisha na wakamuombea...leo amesahau yote anamfurahisha bwana...wanasiasa siwapendi.....!! Askofu mmoja alimpeleka kwa Provost Tumaini akapewa ajira....tunaomjua tunamuangalia tu...Albert Chalamila yeye anasema Makanisa yafungwe amekubuhu kwerikweri
Nadhani hata wakichanga buku buku hawakosi bilioni 200 za ujenziHela za ujenzi zipo au ndio kila muumini mbatizwa kuanza kuchangia?
Wewe kula ulale, waache wenye hela wajenge.Hela za ujenzi zipo au ndio kila muumini mbatizwa kuanza kuchangia?
Bilioni moja ujengi msikiti labda msingiWaarabu wa Dubai watakuja kujenga msikiti mkubwa hapo kigamboni. Wenye thamani ya bilioni 1.
hii kanisa ya katoliki inamaono ya mbali mnoJina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4.
Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box maungamo 6 Sacrarium
Lift ya kwenda juu na basement Cathedral square ipo nje Ghorofani Waiting lounge watu 120-150 Ofisi 4 Store 4 Archive Makanisa madogo 2; Watu 200 Basement
Makaburi 12 ya chini Makaburi ya ukutani Vituo 14 njia ya msalaba Kanisa la kuabudia watu 220 Strong room Handaki.
View attachment 2752329
😳😳😳Bilioni moja ujengi msikiti labda msingi
Sawa mheshimiwa kadhi.Wewe kula ulale, waache wenye hela wajenge.
kwa 1b utakua mdogo na kawaida sana.Bilioni moja ujengi msikiti labda msingi